Urais siyo jambo jepesi mkuu.Hili linawezekana, maana tangu enzi za JK mdogo, kuupata uraisi limekuwa jambo jepesi sana.
Hilo jina halina mvuto na Urais,labda Urais wa ngoma za mchirikuMtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Wewe jamaa wa ajabu ulisemaga hv kwanza kwa Jafo ukabadilika alipoteuliwa Bashiru akasema hivyo hivyo, sasa umebadili tena imekuja na huyo aweso. Kumbuka miaka minne ni mingi sana kitu chochote chaweza tokea. Ila mimi nadhani hata wewe unastahili kushika nafasi hiyo kwanini usiseme ni wewe! NDEGE JOHN!Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Amuulize Boss wake Makame Mbarawa kilichomkutaKuna Ile hadithi ya wahenga isemayo Kuna siku viungo vya mwili vilikua vinagombea uongozi. Kila kiungo kikatoa hoja Yake, ilipofika zamu ya mkund* kila kiungo kilicheka kupindukia. Basi mkun""u ukasema tutaona halafu ukafanya mgomo. Ndani ya siku tatu kila kiungo kilisalimu amri na kusema Mkun*u upewe uongozi.
Hata in everyday life. Viongozi wengi Ni wale wenye akili au tabia kama mkund*.
Huyu engineer simuoni ku tv siku hizi. Nini kilimkuta?Amuulize Boss wake Makame Mbarawa kilichomkuta
Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Kwa kweli hata mimi niliwahi kufikiria hivyo hivyo, kuna siku nilimuona kwenye taarifa ya habari alivyokuwa anafuatilia kazi kwa undani..yaani yuko deep na very determined...kwa kweli tuna hazina ya viongozi wengi time will tell mwenyezi Mungu atawapa hekima wanaoteua viongozi kuchagua viongozi wanaojituma kwa dhati hata ukimuangalia kwa macho nafsi inaamini huyu ni jiwe anaweza...Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.