Juma Aweso ndiye Rais ajaye

Juma Aweso ndiye Rais ajaye

Sasa ndugu unataka watu wapinge kwa hoja wakati mada yako haina hoja.
Kumbe kiongozi nawe umeliona hili. Mleta mada hajatoa hoja ya kuushawishi umma kwa nini anaona mheshimiwa Aweso anastahili kuwa rais ajaye.
 
Bado sana aendelee kuwa waziri tuu.
Alafu baada ya mama si anakuja mristu?
 
Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Hata mwendazake alisema Lukuvi na Profesa Majalalani hawatakuwa marais ila Mungu hapangiwi na mwanadamu mwenye kujua kesho yetu nu aliye juu
 
Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote . Rais baada ya Mama Samia ni kati ya hawa watatu..
Rais anayefuata ni kati ya hawa
1) Mwigulu lamek Nchemba
2) Anthony John Mtaka
3) David Mwakiposa Kihenzile
4) Janyari Yusuph Makamba
5) Prof Kitila Mkumbo
 
Labda kama mtu anae ongoza kwa uchu wa madaraka ( Mwigulu) awe kafa
 
Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Ili tupinge kwa hoja nawe ulitakiwa utoe post yako kwa vigezo! Una vigezo gani vya kuthibitisha post yako? Vinginevyo post yako itakuwa utopolo mtupu!
 
Back
Top Bottom