ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,705
- 57,194
Mtake msitake hiyu ndiye Rais anayefuata baada ya mama Samia. Alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Sio Jiwe Tena? Maana nasikia mliprint fomu yake tu.Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Mkuu, kumbe unafanya kazi ndani ya system. Hongera sana kaka.Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
🤣🤣🤣🤣Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Hili linawezekana, maana tangu enzi za JK mdogo, kuupata uraisi limekuwa jambo jepesi sana.Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Tuliambiwa 'atake asitake, ataongezewa miaka mitano', ila sasa hivi hayupo. Wewe nawe unatumia lugha hizo hizoMtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata...
Hesabu zinakataa mkuu!Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Mlitabiri MAGUFULI atakuwa RAIS wa MILELE yuko WAPI? Mataga Shida sanaMtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Haina mantiki hiyoYou're totally wrong
1. Akitoka ccm atakuwa mkristo ndio utaratibu wa ccm ..... kubadilishana
2. Akitoka vyama vya upinzani anybody and don't write off Tundu Lisu.
Ushamtia gunduMtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.