Julius Uko wapi?

Julius Uko wapi?

JF sio kijiwe cha kufanyia biashara.......lazima uchajiwe tax
 
kwani business yako ni legal?
ni jinsia gani kabla sijakupigia...
 
Huna mpango wowote wewe. Ngoja nimpigie simu Miriam Gerard niisikie sauti yake nyororo na ya kuliwaza. Wewe baki na Rita wako
 
huna ujanja wa kumpata MG wewe.....shori sasa hivi anakuja vekesheni mjini.....na si unajua mie sishiki pembe....
 
Wewe endelea na njozi zako za mchana. Tayari nshapeleka ng'ombe 40 niliopewa na babu yangu...na bado wengine 20 wanafuatia. Hachezi mbali na wa nyumbani
 
Mwenye Wino Amuite Uncle Juju Nipatamo Mie Dollar 5,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom