ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Jogooo oyeeeee
Hahah uko sawa kabisa mkuu,kule Youtube wamezinyofoa sana aisee huku TBC wenyewe waki-play zile zinazowapendeza wao lkn zile konki hawa-play hata kwa dawa.Hotuba zenyewe zimeanza kufichwa.
Zinawekwa zinazowafurahusha tu.
Hii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975.
Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini?
Hao wengine sijawatambua ni akina nani.
Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu miaka karibu 5 iliyopita ila hii video sikuwa nayo.
Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza
Hakika utafiti wa TWAWEZA ulikua sawa kwa 100%.W
Atajifunza kwamba hotuba zake wapinzani wa maendeleo walizipinga, ila yeye alikuwa wa vitendo tu! Mfano - Jenga ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite, jenga bwawa la kufua umeme...... Vitendo tu.
Watajifunza kwamba yale watu waliyokuwa wanayashangaa majuu, yote yako bongo. Watajifunza kwamba kujua lugha za wenzio siyo kuendelea/hakuleti maendeleo.
Watajifunza kwamba hata kama unajua lugha yako ya kijijini mwako tu, ukiwa na nia ya kuleta maendeleo kwa unaowaongoza unaweza. Warusi, wajapan, wachina, waturuki n.k,wameweza bila kutumia lugha za wenzio. Watajifunza mengi sana na watabadirika. Hawatakuwa na kasumba ya kikoloni/kibeberu kichwani mwao kama vizazi vya sasa.
Kingunge mwenyewe familia yake inapesa zisizo na maelezo kwanini asianze kwa watoto wake!Ninamkumbuka mzee kingunge alisema ""huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo"" sasa yametimia.
Tulipokuwa tumefika, hakika tulihitaji zaidi ya Magufuli. Hata watu wapuuzi walishakuwa maarufu kwa upuuzi wao. Kiwango hicho ukijidai kupanga na kujadili vizuri unaishia kulipwa upuuzi.Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
Twaib!Ni kama sasa hao kutoka Ghana, Nigeria, Ivory Coast na kwingineko ukiwatajia unakotoka huwa wanamzungumzia Magufuli na kusema Afrika ya sasa inahitaji kiongozi wa sampuli yake.
Ibrahim Kaduma akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje.Pembeni ya Mkapa ni Cleopa Msuya na pembeni ya Nyerere ni Ibrahimu Kaduma!
Kipindi hiki Mkapa alikuwa ni Press Secretary wa Mwalimu Nyerere.
Je wanamzungumziaje Magufuli, na mambo yaliyomkuta Lisu?
Mkapa aliandaliwa kuja kuwa kiongozi ndiyo maana hakutaka na misifa ya kijinga
Pum ...,Bangladesh, Bangkok,Islamabad, Shutramapyndra!Pumbav kweli unakula hela za uma unajaza kitambi unataka zikutokee wapi. Mmempata msela mwenzenu ndo mtamtambua ni nani
JKYeye alimwandaa Nani!