Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo

Kama cuf ni cha waislam na chadema ni cha wakristo. Ni ccm tu kinaweza kujinasibu angalau hakina udini.wako wengi tu wako CDM Kwa sababu ni wakristo na ndo maana anashangilia watu kufeli akijiamisha waliofeli ni waislam(udini).na wapo walioenda cuf kwa sababu ni waislam

punguza jazba mkuu
 
Mkutano na wanafunzi unaendelea vizuri kwani umeuzuliwa na wanafunzi kutoka vyama vyote vya cuf,chadema na ccm na hata mwenyekiti wa chadema saut kasimama na kuuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake ni mazuri,pia katibu wa ccm saut nae kasimama na kuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake wote wamejibiwa na kuridhika
 
Kuhusu mauaji ya wanachama wa cuf mwaka 2001, Mtatiro anadai Mkapa afikishwe The Hague ktk mahakama ya ICC
 
Mkutano na wanafunzi unaendelea vizuri kwani umeuzuliwa na wanafunzi kutoka vyama vyote vya cuf,chadema na ccm na hata mwenyekiti wa chadema saut kasimama na kuuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake ni mazuri,pia katibu wa ccm saut nae kasimama na kuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake wote wamejibiwa na kuridhika

sawasawa mkuu me mwenyewe nipo hapa ukumbini namsikiliza jamaa
 
Bado yupo?mbona mnapoteza muda kumsikiliza mtu asiye na akili timamu...anatoka mapovu tu mwili mzima
 
Kama cuf ni cha waislam na chadema ni cha wakristo. Ni ccm tu kinaweza kujinasibu angalau hakina udini.wako wengi tu wako CDM Kwa sababu ni wakristo na ndo maana anashangilia watu kufeli akijiamisha waliofeli ni waislam(udini).na wapo walioenda cuf kwa sababu ni waislam

cuf waliwahi kuilaani Israel wakati wa operesheni cust a lead. Ni chama kibaraka wa Hosbollah na Hamas. Jiulize kwa nini wasilaani maroketi badala yake wana laani hatua ya kujitetea ya Israel? hapo ndipo walipopoteza heshima katika Africa mashariki !
 
Mara ngapi? Wakati kitu kikiongozwa/kikishikwa /kikianzishwa na Muislam hicho ni cha Udini -Uislam. Ndio vita yenu na CUF. Ndio vita yenu na JK. Angalau basi mngeiletea nchi maendeleo tungejivunia ninyi wachapakazi wetu!! Kikowapi na umasikini wetu, ujinga wetu, maradhi yetu! Kuna watu wanasema waliofeli Form Four mwaka huu ni Waislam...kwa kutazama majina ya Shule!! Ujinga ni mzigo.

Udini at work
 
Ninyi vijana wageni Chadema msichokielewa ni kuwa mnapo inasibisha CUF na waislam au kejeli zenu Uislam cum udini hamjui kuwa kuna wanachadema wa ngazi za juu kabisa waislam wenye mapenzi na chama chao......Mtaje Mzee Bob Makani, Said Afri, Zitto Kabwe, Jafari Kasisiko,....hao wote ni waislam watanzania bara....hivi hamuelewi athari ya matusi yenu kwa CUF na kuinasibisha na Uislam!

Jussa:Tumeshindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo na Wabara
 
Kama cuf ni cha waislam na chadema ni cha wakristo. Ni ccm tu kinaweza kujinasibu angalau hakina udini.wako wengi tu wako CDM Kwa sababu ni wakristo na ndo maana anashangilia watu kufeli akijiamisha waliofeli ni waislam(udini).na wapo walioenda cuf kwa sababu ni waislam

Tamko la Jussa kuhusu kushindwa uchaguzi jimbo la Uzini kuliiacha CUF uchi wa mnyama
 
cuf waliwahi kuilaani Israel wakati wa operesheni cust a lead. Ni chama kibaraka wa Hosbollah na Hamas. Jiulize kwa nini wasilaani maroketi badala yake wana laani hatua ya kujitetea ya Israel? hapo ndipo walipopoteza heshima katika Africa mashariki !

Hivi mkuu wangu wataiteteaje Israel ukilinganisha na tamko la Jussa la Uzini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom