laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
Lipumba nuksi sana alitaka kumuua na njaa Mtatiro,,hahahaMtatiro anatafuta cheo tu full stop.
Inasemekana toka amalize degree yake Mlimani pale alipoingia mtaani hajapata kazi ya uhakika ya kujipatia kipato.
Kaona CUF anashinda na njaa tu alafu Ruzuku yote keshakomba Lipumba.
Hahahhaaa. Njaa mbaya kweli aisee.