Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

Maprofesa wa Tz ni shidaaa,wengi wao wachumia tumbo tu kama huyu bana! Eti anatetea umafia uliofanywa na six wa kufoji kura,ni aibu kwake na maccm wenzake
 
Wana jamvi wasomi wetu wana zidi kuumbuka kweupee! Dogo julius mrutu alie kuwa mgombea wa bavicha taifa amki
mbiza mbaya dr bana msomi na kada wa ccm alie jificha kwa kivuli cha usomi pofu

Leo ndo nmeamin wasom wetu wengi hamna kitu kuchwan ...ckutegemea msomi kama bana anaweza kuongea pointless vile...dah!
 
Anaeipinga rasimu asubiri muda wake,rasimu ya katiba iliyopendekezwa YATOSHA
 
Duh, hawa wasomi wetu sijui inakuwaje! Yaani muda wote ni kulamba viatu vya watawala.
 
Mi kwangu Benson Bana ni sawa sawa na darasa la pili la zamani tokana na anavyoweza kujidhihirisha kwenye mdahalo na upigaji kura wake juu ya katiba pendekezwa ndan ya BMK, hasitahili hata hiyo Phd ndo maana siwezi kumuita dr labda kama iwe ya hono kama ya jamaa yenu yuleeeee. He is the fake academician ever seen in Tz. Die poorly Bana.
 
Hili taifa ujingaujinga hautaisha,kama huyo ni mwalimu wa chuo kikuu,jiulize mwamafunzi wake atakuaje..!!
 
Songíto;10838304 said:
Msimamo wa Dr. Bana unajulikana tangu awali juu ya hili, sikutarajia aonyeshe utofauti leo hii...

...aisee unafiki wake unakera sana,eti watu wasijadili katiba wakiwa na itikadi za vyama,ndo anasema leo ?mbona wahuni wamefanya umafia bungeni kwa misingi ya chama na anasema mchakato umeenda vizuri,njaa mbayaa aisee....!?
 
Nimemsikia prof. kwan kuna prof gan aliye ndan ya chama tawala anaakili timamu?
 
Mbunge ambae anajua kuimba na kucheza atawezaje kujadili hoja za maana??
 
Back
Top Bottom