Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

Kicheba One

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
399
Reaction score
194
Wanajamvi,

Wasomi wetu wanazidi kuumbuka kweupee! Dogo Julius Mrutu aliyekuwa mgombea wa BAVICHA taifa amkimbiza mbaya dr.Bana msomi na kada wa CCM aliyejificha kwa kivuli cha usomi pofu.
 
Huyu Dr Mwalimu wangu....lakini anaonekana hayupo makini ....anaongea kinafiki nafiki sana
 
Prof. Benson Bana ITV anasema ni ukweli kwamba swala la mbunge kujua kusoma na kuandika ni jambo asilolikubali. Anasema ni vizuri mbunge akawa na uwezo wa kuchambua mambo maana Bunge ni taasisi ya kutunga sheria, ni vyema mtu akafahamu kuelewa vizuri lugha ya kiingereza maana ndiyo inaandikwa kwenye sheria nyingi.

Pia anasema ni vizuri wateule wa Rais wakadhibitishwa na Rais, na siyo Rais kuja na mtu asiejulikana.

Swali langu ni kwamba; kwenye kupiga Kura, Prof. Benson Bana alipiga kura za ndiyo. Sasa kageuka kuwa mpinzani, hii inanipa wakati mgumu
 
Namkubali ni kama ndugu H. Polepole nimemkubali Uwezo wake Mungu akulinde hazina ya taifa jipya sio hawa wanahirisha laprofeseri
 
Msimamo wa Dr. Bana unajulikana tangu awali juu ya hili, sikutarajia aonyeshe utofauti leo hii...
 
Ukiwa kwenye kundi kama lile lilokuwemo bungeni huwezi kwenda tofauti nao labda uwe nje ya kundi hilo kama ilivyo leo kwa prof benson bana leo yupo huru japo ana uma na kupuliza
 
Julius Mruta hana hoja inaonekana hata rasimu zenyewe hajazisoma
 
Prof. Benson Bana ITV anasema ni ukweli kwamba swala la mbunge kujua kusoma na kuandika ni jambo asilolikubali. Anasema ni vizuri mbunge akawa na uwezo wa kuchambua mambo maana Bunge ni taasisi ya kutunga sheria, ni vyema mtu akafahamu kuelewa vizuri lugha ya kiingereza maana ndiyo inaandikwa kwenye sheria nyingi.

Pia anasema ni vizuri wateule wa Rais wakadhibitishwa na Rais, na siyo Rais kuja na mtu asiejulikana.

Swali langu ni kwamba; kwenye kupiga Kura, Prof. Benson Bana alipiga kura za ndiyo. Sasa kageuka kuwa mpinzani, hii inanipa wakati mgumu

Ulitegemea nini kwa huyo jamaa? Kwani hujui agenda yake? Kwanza anatafuta kanafasi fulani kwa hiyo hakuna cha taaluma hapo. Hawa watu na uprofessor wa Tanzania hamna kitu kabisa. Angalia mtu kama huyu au tusema hata wengine kama yeye nani atawatambua nje ya Tanzania? Wanatambuliwa na watu wao tu na si zaidi ya hapo. Hivi umewahi kusikia ni professor gani amedeliver kitu cha kuisaidia jamii na si hizi theoretical works ambazo zinaishia kwenye kabati zenu za Chuo kikuuu. Hawa watu tumewachoka na wanakifanya chuo au kitivo cha siasa kionekana kama ni hakuna kabisa!!
 
Huyu dogo Mruta ni kichwa .....amefanikiwa kumyumbisha Dr Bana kihoja .....
 
Huyu jamaaa balaaaa anamfanya Prof anekane kilaza wa hatari, ila yote ni kwasababu BANA ana upande wake.
 
Back
Top Bottom