Malema has crafted his campaign for "economic freedom in our lifetime" as a struggle similar to that waged by Nelson Mandela and his comrades to radicalise an ANC that would not take up the armed struggle in the 1950s even as apartheid became increasingly entrenched and bitter. In the squatter camp on Saturday, he cast himself as a martyr: "If we have come to the end, let it be so. If you are angry with Julius, don't destroy the ANC Youth League. It doesn't belong to Julius but because you do not come from the youth league, because you know nothing about the politics of the ANC, you want to destroy the work of Nelson Mandela."Huyo malema ni kweli amejilimbikizia mali nyingi sana kwa kutumia madaraka aliyonayo! na anawatumia maskini kujineemesha mwizi tu hana lolote,
Tatizo la waafrica wa hapa south Africa wasio soma au tuseme wenye uelewa Mdogo wepesi sana kudanganyika na siasa za misisimuko au tuseme siasa za aina ya dini ya kilokole yaani siasa za misisimko.
Uondoa hilo pendekezo la kipuuzi. Hakuna kitu hapo.
Julius Malima wa TZ ni Nape!
Sorry to rain in your parade, the truth is politics will never save this country. Mfumo wowote unao-rely on politics is bound to fail. We are in trick situation which needs very delicate intelligence and quiet mind, not some demagogues and populist who attract masses by doing some cheap talking ..talking ..talking and more talking.
You are doing the same talking..talking and more talking...
Huo mfumo usi-rely politics unatoka wapi? uko wapi? nani ataanzisha?... go on talking..
Of coz post yangu is above your little tiny Muhamadic understanding, just pass it.
Uondoa hilo pendekezo la kipuuzi. Hakuna kitu hapo.
Julius Malima wa TZ ni Nape
Usifanye "mchezo", ushabiki au utani kwenye masuala ambayo ni mustakabali sio wa maisha yako tu bali ya vizazi vyako vijavyo.
Ur cult overzealotry is misplaced..kama unataka kuleta mambo yenu ya dini za kuchonga zilizoanzishwa na watu wasiojua kusoma na kuandika, walokuwa wakiishi mapangoni na kutawadha kwa kutumia mawe, whom I wouldn't let them near my son, let alone my daughter due to their pedofilic inclinations, utafanya la maana ukienda kule kwene jukwaa lenu la myths wenyewe mnaita 'dini na imani'. nadhani kuna watu watakuskiza..hapa umepotea njia bw. Mkamua Kinyesi Maiti (MKM).Na wewe unaweza ku-understand chochote..vitu vidogo kama jesus is not god unashindwa itachukua karne kuelewa "Great Philosophy of Muhammad (PBUH).
As much as baadhi ya watu humu wapenda status quo lakini ukweli uko pale pale.
We are tired of these political elites ambao ni mzao wa Nyerere. watu wana miaka zaidi ya 60 lakini utawaona kwenye front bench politics na hawaishi ku play politics mpaka na uchumi
Kwa nchi ambayo 70% ya population ni vijana wenye chini ya miaka 30 its a disgrace kuona over 90% ya viongozi wake (ambao so far wametufikisha kwenye hii balaa ndio wamejikita kila kona) wana umri uliozidi 60 na kuendelea
Imagine the likes of wasira au Anna Abdallah au etc ni kama ma dinosaurs na utashangaa kuona watu bila aibu wala haya wanakuja humu JF kumfanyia kampeni Lowassa aje kuwa rais baada ya ku mess up alipokuwa madarakani
Binafsi nadhani wananchi have had enough of these old men and their oldboy network, tukaachana na mambo ya kuwapa nafasi wanawake kwa sababu tuu ya jinsia na politcal correctness na pia tukaacha hizi party politics ambazo hazitufikishi mahala
Nashauri kama wapo the likes of Julius Malema ambaye jana gazeti la Forbes limemtabiria kuwa anaweza kuja kuwa the next SA President simply because wananchi have had enough of those from elite backgrounds that are out of touch na wananchi wa kawaida
To be honest I care less na chama atakachotoka the next Julius Malema wetu awe CCM au CHADEMA au CUF, I care less as long as huyo mtu ni below 35 years na ambao wana uwezo.
Ur cult overzealotry is misplaced..kama unataka kuleta mambo yenu ya dini za kuchonga zilizoanzishwa na watu wasiojua kusoma na kuandika, walokuwa wakiishi mapangoni na kutawadha kwa kutumia mawe, whom I wouldn't let them near my son, let alone my daughter due to their pedofilic inclinations, utafanya la maana ukienda kule kwene jukwaa lenu la myths wenyewe mnaita 'dini na imani'. nadhani kuna watu watakuskiza..hapa umepotea njia bw. Mkamua Kinyesi Maiti (MKM).
lol..dude kajifunze kwanza ku-type na uje na hoja. Jipange kisha urejee.Well umejitahidi sana kueleza jinsi ulivyo misplace and mis-informed, sunday school at work..ya kuambia na padre changanya kidogo na yako au tafuta vitabu..ushauri wa bure..period..
Uko low sana kiakili I am done with u.
Kitakachoiokoa nchi hii ni taasisi au asasi zenye nguvu sio mtu au watu wenye nguvu. Akina Rostam na Lowassa walikuwa na nguvu sana mwaka 2005. Wakatupatia JK. Nyote humu mnalia nae. Haya, huyo Malema mwenyewe alihakikisha JZ anakuwa Rais huko kwao. Sasa anataka kumgeuka tena![/QU
No kweli ni kijana wa Jacob zuma lakini ni mkweli,kwake maslahi ya taifa kwanza,ujambo unafuata baadae.