Julio wa Simba apoteza cheti chake

Shekhe watutafutiani siye.....
 
tujadili kidogo hata hii sifa ya Form Four halafu uingie mkataba na Multi Choice, Etoile Du Sahel, unadike barua kadhaa FIFA, ushiriki warsha semina makongamano kitaifa na kimataifa?????
Mkuu sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika.

Kwa kuwa huwezi kuwa Waziri bila kuwa Mbunge, je ni Mawaziri au Wabunge wangapi mjengoni wana sifa hiyo? Kuna sifa nyingine zinatajwa kutumika ili mradi kufunika kombe mwanaharamu apite lakini hebu jaribu kuhudhuria kampeni ch auchaguzi uone jinsi wagombea wenye elimu ndogo wanavyosasambuliwa mbaya....

Kwa ufupi ni kwamba ingawa Elimu ya Juu (Shahada) na kuendelea haitajwi sana lakini ndiyo sifa kuu ya kuwa Kiongozi hivi sasa.
 
tujadili kidogo hata hii sifa ya Form Four halafu uingie mkataba na Multi Choice, Etoile Du Sahel, unadike barua kadhaa FIFA, ushiriki warsha semina makongamano kitaifa na kimataifa?????
Ndugu yangu wewe kazi za kudraft barua ni kazi za secretary kwa hiyo siamini klabu kubwa kama Simba hainaga secretary.Nyie mwacheni akagombee kura iwe ndiyo mwamuzi wa mwisho
 
Mnajua Kabisa tukimpata Julio huku Simba tutakuwa tumeua ndege wawili, maana anatosha kuwa afisa habari pia
 
huenda hii ikatutoa hapo tulipo, niliwahi kuhudhuria mkutano wa Kimataifa Uganda nikiwa na Waziri Fulani, nilijuta hata kujitambulisha kama mm ni mtz
 
Ndugu yangu wewe kazi za kudraft barua ni kazi za secretary kwa hiyo siamini klabu kubwa kama Simba hainaga secretary.Nyie mwacheni akagombee kura iwe ndiyo mwamuzi wa mwisho

Mkuu ikiwa ndivyo basi na Julio akaendelee na ukocha, lakni pia utafakari vizur andiko langu
 
sasa nimeelewa pia vizuri ni kwa nini Julio anadai bado ni kocha Simba ilihali alikua haripoti kazini na tayari ana mwajiri mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…