Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kuanika ukweli wa mambo, ni leo kwenye mkutano wa CCM jijini Dar

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
MAKADA WAWILI(JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA) SIKU YA LEO TAR.16/02/2013 WANATEGEMA KUFANYA MKUTANO MKUBWA WA CHAMA CHAO CCM JIJINI DSM VIWANJA VYA TEMEKE


MKUTANO HUO NI MWANZO WA ZIARA KUBWA WANAYOTEGEMA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUULEZA UMMA WAWATANZANIA MAMBO MBALIMBALI MAOVU YANAYOTENDEKA NDANI YA CHADEMA,WANATEGEMA KUFANYA MIKUTANO YA KUELEIMISHA VIJANA WAKITANZANI KWAMBA WASIGEUZWE "KITOWEO CHA WAJINGA NDIO WALIWAO"
updates zitawajia hapahapa stay tuned


MKUTANO WA LEO JIJINI DSM UTAHUDURIWA NA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU YA CHAMA NA WANACHAMA WA CCM KAMA WALIVYOTAARIFIWA.
JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA WANATEGEMEA KUTUMIA NAFASI HIYO KUTOA USHUHUDA SI WAMANENO TU KUHUSU MAMBO YANAYOKIZUNGUKA CHAMA CHA CHADEMA.PIA WATATUMIA NAFASI HIYO KUELIMISHA NA KUOMBA VIJANA WAACHANE NA SIASA UCHWARA WAJIUNGE NA CCM,WAJIFUNZE SIASA NA UTAWALA BORA.NILIPOTAPA NAFASI YA KUMPIGIA SIMU MWAMPAMBA ALIONGEA SENTESI FUPI TU
"NI BORA VITA MOJA YA KUPIGANA NA MAFISADI KULIKO VITA YA UBAGUZI WA KIKANDA,UDINI NA UFISADI PAPA NDANI YA VYAMA VYA SIASA"

61775_426787430733075_5541749_n.jpg



13005_426787380733080_1902004621_n.jpg


UPDATES TO FOLLOW
UPDATES:
Mkutano umeanza ni mra baada ya vijana wa TMK(WANAMZIKI) KUMALIZA KUFANYA SHOW VIWANJA VYA TEMEKE MWISHO
1.Juliana Shonza anakabidhi magwanda ya CHADEMA kwa wana CCM(Kama kutakuwepo tukio la kuchoma magwanda hayo nitawajulisha na picha)
2.Juliana shonza nafunguka kuhusu UFISADI WA DR.SLAA ni ule wa Millioni 140 na mwingine wa ugawaji wa ruzuku.
3.Juliana anazungumzia hujuma na utoto uliofanywa na wabunge wa chadema kugawa namba za simu za spika kwa wananchi bila kuwapa taratibu na kanuni za matumizi ya simu za mikononi hasa kwa kiongozi mkubwa kama makinda.
4.MWAMPAMBA NAYE ANAKABIDHI MAGWANDA YA CHADEMA MWELE YA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM
5.Mwampamba anamlipua Dr.slaa kuhusu Ufisadi wa mradi wa maji KAVIWASU huko karatu.
6.Mwampamba anawahutubia wananchi namna Josephine mshumbusi anavyotumika kuhadaa wanawake nchini kwa njia ya za vikao vya siri.
7.Mwampamba anamlipua Mbowe na Danguro lake(ndivyoalivyoliita) la Billicanus namna linavyolea uchafu ndani ya nchi.
8.Mwampamba anamlipua Mnyika kwamba amedanganya elimu yake yeye ameishia sekondari na sio Graduate kama anavyo na alivyodanganya Umma.(kama mNyika ni graduate ajitokeze mbele ya umma amemaliza wapi chuo).
9.MTELA MWAMPAMBA AMETOA USHAHIDI WA RIPOTI YA KAMATI KUU YA CHADEMA UNAOONESHA NAMNA UCHAGA ULIVYOSHAMIRI NDNAI YA CHAMA HICHO.
10.MWAMPAMBA AMETOA DVD YENYE KUONESHA NAMNA MBOWE ANAVYOMSIFIA RAIS KIKWETE,NAMNA ANAVYOMANI KUA HAKUNA ZAIDI YA KIWETE AMEKABIDHI KWA VIONGOZI WA CCM
11.JULIANA SHONZA AMEMJIBU MNYIKA KWA KUMWAMBIA KIKWETE SIO DHAIFU,DHAIFU NI DR.SLAA MWENYE ULEMAVU WA MKONO NA KISUKARI,MDHAIFU NI DR.SLAA ALIYEKIMBILIA KWA HAWARA NA KUACHA NDOA YAKE IKITANGATANGA.
12.MWAMPAMBA AMEKUSUDIA KUPELEKA OMBI LA CHADEMA KIFUTWE KWA SABABU ANA DOCUMENT ZINAZOONESHA NI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA.

13.MAGWANDA YA CHADEMA YACHANWA CHANWA HADHARANI NI YALE YA MWAMPAMBA NA JULIANA SHONZA.

14.CCM WANAPATA MWANACHAMA MPYA,NI ALIYEKUWA SEKRETARI WA DR.SLAA KATIBU MKUU WA CHADEMA(SAUMU KISENA) HUYU HAPA CHINI,AMETOA USHUHUDA NAMNA ALIVYOKOSANA NA DR,SLAA KUTOKANA NA KUMNYIKA PENZI HASA NYYAKATI ZA KAZI PALE OFISINI KWAKE MAKAO MAKUU YA CHADEMA
F46Ejzgu613MAAAAAElFTkSuQmCC


15.Mh:MAGHEMBE anamlipua mnyika kwa kusem anamtumia mjumbe mmoja wa kamati hudanganya bunge,Amemwambia swala la maji lipo kwenye ilani ya chama 2014 ambapo maji yatakuwa yameshafika Dsm.
16.Mkutano unamalizika
 
Story imekaa kiushabiki sanaaaa, sema sehemu ya mkutano...... tupeleke M4C palepale chinichini.
 
Waende zao,kuna Mtanzania wa leo utakaemdanganya na propaganda nyepesi?labda wenye fikra na akili nyepesi kama wao!Watanzania wa leo wana macho na akili za kunyambua mambo,wanajipotezea muda,tena kuna sehemu nyingine watapata na kipigo kabisa!
 
  • Thanks
Reactions: mps
mh! nyie mna matatizo,hivi mmeondoka chadema kwa kusema kuna ubaguzi wa kikanda na huo mnaoiona ni ufisadi papa,then huko ccm mnakoenda kuko salama?

Na kwa elimu na uwezo wenu na kwa nyinyi kutokuwa na maslahi binafsi na kutokuwa na tamaa ya uongozi mmefanya nini ili kukirekebisha Chadema na kumake sure chama kinakuwa bora au mlishindwa.

Na kama mmeshindwa je uhozo mkubwa uliopo huko mlikoamia mtaweza kuutatua,wananchi watafakarini hawa watu,wachukulieni hatua madhubuti kuwadhatiti mana si wazuri kwa maendeleo ya taifa letu na ni wanafki wa mabadiliko wa taifa hili,zaid ya wao kutaka umaarufu kupitia Chadema
.
 
Hawa watu wabaya sana hata CCM wanawajua na utaona hawatapata uongozi
 
Walivyotuchefua hata vijana wa maCCM hawawezi wasikiliza!.

Tahadhari: MaCCM nanyi mjue kuwa hawa mnao wakumbatia na kuwatumia ni maadui wenu tu. Watageuka Osama siku moja, ole wenu wakose maslai kwani si wavumilivu.

Fikiri Mwampamba angelikuwa ni Kikwete 1995 ingelikuwaje?.
 
Mmekwisha magamba. Badala ya kuwaeleza wananchi juu ya utekelezaji wa ilani yenu ya uchaguzi, bila aibu ndugu mwenezi unasema mtawatembeza wasaliti nchi nzima kuizungumzia Chadema. Kwakuwa hiyo itasaidia upande mmoja kukitangaza chama chetu nawaunga mkono watembezeni nchi nzima.

Hakuna jipya lolote litakalosemwa na hao wasaliti kwakuwa hayo ya ukabila na ukanda ni old single ambayo haina mvuto tena. Nimefurahi kwamba hamkusudii kusema kuwa ni chama cha kikristo kwakuwa wasaliti wote ni wakristo!

Taswira tuambie mahali pa kufanyia mkutano ili tuje kuwasikiliza mashujaa wenu wanavyotoa ushuhuda live bila chenga!
 
Last edited by a moderator:
mh! nyie mna matatizo,hivi mmeondoka chadema kwa kusema kuna ubaguzi wa kikanda na huo mnaoiona ni ufisadi papa,then huko ccm mnakoenda kuko salama? na kwa elimu na uwezo wenu na kwa nyinyi kutokuwa na maslahi binafsi na kutokuwa na tamaa ya uongozi mmefanya nini ili kukilekebisha chadema na kumake sure chama kinakuwa bora au mlishindwa na kama mmeshindwa je uhozo mkubwa uliopo huko mlikoamia mtaweza kuutatua,wananchi watafakarini hawa watu,wachukulieni hatua madhubuti kuwadhatiti mana si wazuri kwa maendeleo ya taifa letu na ni wanafki wa mabadiliko wa taifa hili,zaid ya wao kutaka umaarufu kupitia chadema


Kaka kuweka record sawa hawa jamaa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba HAWAKUONDOKA CHADEMA bali WALIFUKUZWA KWA USALITI wao huo waliofanya.
 
Mkuu Taswira,ebu tupia venue kwani nimedhamiria kutokosa mkutano wowote wa Juliana Shonza.
 
"NI BORA VITA MOJA YA KUPIGANA NA MAFISADI KULIKO VITA YA UBAGUZI WA KIKANDA,UDINI NA UFISADI PAPA NDANI YA VYAMA VYA SIASA" By Mtela Mwampamba

Hii imetulia kweli
 
mh! nyie mna matatizo,hivi mmeondoka chadema kwa kusema kuna ubaguzi wa kikanda na huo mnaoiona ni ufisadi papa,then huko ccm mnakoenda kuko salama?

Na kwa elimu na uwezo wenu na kwa nyinyi kutokuwa na maslahi binafsi na kutokuwa na tamaa ya uongozi mmefanya nini ili kukirekebisha Chadema na kumake sure chama kinakuwa bora au mlishindwa.

Na kama mmeshindwa je uhozo mkubwa uliopo huko mlikoamia mtaweza kuutatua,wananchi watafakarini hawa watu,wachukulieni hatua madhubuti kuwadhatiti mana si wazuri kwa maendeleo ya taifa letu na ni wanafki wa mabadiliko wa taifa hili,zaid ya wao kutaka umaarufu kupitia Chadema
.

Juliana na Mwampamba wako too "SUBMISSIVE" mbele ya MAGAMBA walowatuma CDM kama vile "Mtetea amwonapo jogoo akimuandama"
 
hivi jamani bado tu tunazungumzia watu ambao hata kwenye google hawapo?? kuna asiyejua WIZI NA MADUDU YA CCM??? acheni mtalaka abwabwaje,. ni kawaida kwa kila apewaye talaka kuongea maneno ya fitina kuhusu upande wa pili! ni bora tuongelee misukule ya lamadi na jinsi gambosh inavyogeuka new york usiku, kuliko kuongelea makapi haya!
 
Labda mikitano ya Ndani, Ila mikutano ya Nje hakuna Mwana CCM hata mmoja mwenye ushawishi wa kuvuta watu kwenye mkutano, Kikwete anatumia Kofia ya Uraisi na huwa watendaji wa vijiji wanaforce watu kwenda kwenye mikutano, Ukiachilia mbali Shonza hata Nape hana uwezo wa kufanya mkutano wa hadhara na watu wakaja sasasembuse hao Sisimizi, Hawana uwezo wa kufanya mikutano ya nje, wakina Makamu wao wa Chama mwenyewe anaishia kufanya mikutano ya ukumbini sasa hao wataweza wapi,

Watanzania wanataka kujua maswala kama Kushuka kwa elimu, Kupanda bei ya mafuta ya taa, Sukari, Umeme, michango isiyo isha vijijini na mengineyo, sasa wajinga fulani wanakuja na Nhonjera za ajabu ajabu, Waeleze na na yule Kada wao aliye kutwa na sukari Feki,

Hao Shonza wakitaka kujua Wabongo wamechoka wajaribu kuwauliza wananchi ishu za Bunge, Katika kila watanzania 10 basi saba wanawaunga mkono CHADEMA kwa msimamo wao Bungeni,
 
Ila wenye akili ni wale wanaoitwa mwembe yanga na kufundishwa matusi ya kumtukana spika na naibu wake?


Acha kukalili wewe MWEMBEYANGA tuliwatungua kitambo na list of shame, operation pindua sipika/naibu ilikuwa TEMEKE MWISHO.... Shen_i weweeeee?
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Hao vijana watatumika sana , hawana kazi , halafu bado wanang'ang'ania kuishi mjini ! Lazima watumike sana , kama Kuli , Hela kidogo kazi kama Punda ! Wasira bhana !
 
As far as I know, hadithi zitakuwa ukanda + ukabila + ufisadi wa Dr Slaa. Udini hawataongea because ni wakristo. The same old rhetoric that we have become used to.
 
Mkuu Taswira,ebu tupia venue kwani nimedhamiria kutokosa mkutano wowote wa Juliana Shonza.

Mkuu sema itakuwa ni Ukumbi gani? Make kwa CCM hakuna mtu mwenye uwezo wa kuvuta watu kwenye mkutano, Shonza hata kuvuta watu 10 pekee kwenye mkutano hawezi, Huku mtaani kwetu hakuna mtu anayewajua hata kwa sura,
 
Back
Top Bottom