Julai 7: Siku ya Kiswahili Duniani (Kiswahili Language Day)

Tunamuomba Rais wetu Mama Samia alisimamie suala hili la matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili kama alivyo kuwa mtangulizi wake Hayati JPM.
 
Kwa hiyo hata Putin naye anajua hili kuwa leo ni siku ya Kiswahili Duniani!!?
Putin yeye anaenzi kirusi na amefika mefanikiwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kama nchi kwa kutumia lugha yake, vivyohivyo; kwa Korea, Turkey, Iran, n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom