Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

Sikubaliani na hili mkuu. Udhaifu wa watu wengine hawawezi kubebeshwa watoto wasio na hatia na pengine ndio wakombozi wa kesho.

Fikiria walimu wako wangefanya hivi leo hii ungekuwa wapi?
Mkuu n sawa unalosema...ila hii hali inakuja automatically kutokana na stress nyingi inafikia stage unaona basi nafanya as I can
 
Nishachukia, ngoja nitoke kidogo nitarudi baadae kucomment, kwa sasa nitaandika vibaya, ning'olewe kucha! wacha ni control kwanza hasira yangu
Uko sawa kabisa, alafu watumishi bado tuna safari ndefu sana. Unakuta pamoja na kuwa tunapitia kipindi kigumu kama hivi, cha ajabu bado kuna vihehele huku kwa tu vyeo tu tudogo walivyopewa kwa kujuana basi ni full kuwapelekesha wenzao utazani labda wao wana mishahara ya kipekee sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama za maisha zimepanda sana vitu bei juu asee,wenye mishahara midogo tuishi vip bado vijana wetu wamemaliza masomo yao no ajira tupo nao tunagawa hiki kidogo chenye mateso na wadogo zao wanategea waende shule pia!! asee. Mzee Magu Rais wa wanyonge kama unavojiita Mungu anakuona ujue unavotufanyia sio haki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki ndio utaendelea kuwatafuna wafanyakazi wa serikali!
Kila wakati MNA malalamiko kibao ila siku kuu ya wafanyakazi utaona mnapiga makofi hata pale mnaposikia upuuzi!

Endeleeni Sasa kuimba ule wimbo wenu wa solidarity forever huku mmevaa Yale maform six! alaaaaah
 
Back
Top Bottom