Jukwaa pendwa la wakubwa limeenda wapi???

mie sijui hata unakuwaje member wa hilo jukwaa la wakubwa....
 
Reactions: nao
Nasikia jukwaa la wakubwa under 18 ni wengi sana

So mwaka mpya kulog in na cheti cha kuzaliwa
 
Jaman nidumbukizeni kwenye hilo jukwaa basi mimi mkubwa mwenzenu.......ama nimepeni mashariti na vigezo nifata!
 
Jukwaa la wakubwa linakiuka sheria ya makosa ya mitandao!
 
Mbona lipo wakuu,ila cion kitufe cha PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…