Jukwaa la watu kutoka Burundi

Nimeolewa na mtanzania kwao katumba barabara ya......
katumba katavi,budyankuru tabora,mishamo katavi hizo zilikuwa kambi za wakimbizi miaka ya sabini so rais jk akawaonea huruma na kuwapa uraia.
Kwahiyo wale ni wahutu wenzako bi dada,ila avatar yako nimeipenda🤒🤒🤒
 
Mimi msukuma bwana. Sema kule napenda kula ugali wa rowe na mgebuka wa kuchoma.
 
Back
Top Bottom