Excellent aamua kuja na tetesi kuwa jukwaa la MMU liko hatarini kutoweka....dah nilifikiri niko kwenye thread ya JF Udaku haya mazoea noma sana aisee
chit chat imebeba kila kitu
Nakupongeza wewe kwa kujua kipimo cha akili zako na kufahamu jukwaa jepesi kama hili ndio linakufaa, maana uwezi kuja kutusumbuwa kwenye mijadala makini.Kinachoniudhi majukwaa mengine lazima utumie akili na busara, lakini huku tunatumia viantena vya mende
Tunapapasa tu kinachokuja unaandika hichohicho
Nasikia usingizi!!!
Nakupongeza wewe kwa kujua kipimo cha akili zako na kufahamu jukwaa jepesi kama hili ndio linakufaa, maana uwezi kuja kutumbuwa kwenye mijadala makini.
Hivi saa nne karibu na nusu ni mapema?Mh mbona mapema hivo