Jukwaa la jokes na udaku.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Jamani kwa takribani wiki moja kama sio mbili hili jukwaa maarufu sana hapa JF silioni.

Je limeondolewa kabisa au linafanyiwa marekebisho? Naombeni update zenu waku.
 
Limefanywa sub-forum kwenye jukwaa la sports & entertanment, ukifungua jukwaa hilo la sports utalikuta.
 
Jamani kwa takribani wiki moja kama sio mbili hili jukwaa maarufu sana hapa JF silioni.

Je limeondolewa kabisa au linafanyiwa marekebisho? Naombeni update zenu waku.

Pole sana wa kusoma,
Mie nadhan uendelee kukaza msuli tu,

BTW,jukwaa lipo mie naliona na nilikua huko mda si mrefu!
 
Lipo kwenye jukwaa la sports &entertaiment kama sub forum lakini kwa mtazamo wangu Moderators wa JF waliludishe hili jukwaa lijitegemee kama mwanzo.
 
Asanteni kwa maelekezo yenu, si unajua tulikuwa busy na ile forum mpya ya chaguzi ndogo. Ngoja niende kule fasta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom