Unaomba level gani?Habari za asubuhi ndugu zangu "naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki mwenye uelewa na hili jambo naomba anisaidie.
Sasa na huu uandishi ndo unaingia Chuo Kikuu kweli? Mbona kazi ipo.Habari za asubuhi ndugu zangu "naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki mwenye uelewa na hili jambo naomba anisaidie.
Nacte au necta? Kama ni vyeti vya sekondari na diploma ni necta labda kama ni vyuo vya kati .Habari za asubuhi ndugu zangu "naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki mwenye uelewa na hili jambo naomba anisaidie.
Ili twende pamoja itabidi utueleze una qualifications gani na za nchi gani. Ukifanya hivyo wanajukwaa watakusaidia.Habari za asubuhi ndugu zangu,
"Naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki mwenye uelewa na hili jambo naomba anisaidie.