Mr. Smart katika ubora wako(jokes)
woyooo sahizi upo jukwaa gani?
Jukwaa la uchawi na mambo ya giza.. Hata hivyo halipoHabari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
ungesema tu halina population ingetosha, unaposema halinapopulation of people inaweza kuwa na maana ya ziada, like! halina pop of people but animal or the like!tech nalipenda san@ sema halina population of people
Hivi MMU inamaanishaga nn mana huwa baionaona tu.Ukinikosa MMU utanikuta PM