Jukebox machine

Jukebox machine

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,896
Wakuu naomba mwenye kufahamu kampuni ambayo inahusika na usambazaji wa hizo mashine za music, zile za kudumbukiza coins, anipe mawasiliano nayo, nipo Dar, nahitaji moja kuna sehemu yangu ya biashara nataka kuiweka.

Nitashukuru
 
Mkuu bado hujapata mtu wa kukuelekeza?nami nazihitaji Sana
 
Back
Top Bottom