Juisi za miwa Kariakoo wanaongeza sukari

Juisi za miwa Kariakoo wanaongeza sukari

Hii kwa wale ndugu zangu wanakunywa juice za miwa

Katika utafiti wangu wa kunywa juice ya miwa nilianzia Tegeta, Kawe na Kkoo

Tofauti imekuja kwanini juice ya Kkoo inakuwa tamu sana kuliko zote

Ikanibidi nijenge mazoea na muuza juice 1 hivi shabiki wa simba ili anipe siri ya kwanini..

Mwisho wa siku alikuja kuniambia siri yao kubwa ni kwamba wanaweka sukari za kiwandani

Inawekwa vipi?
Kabla ya kuweka barafu za mwanzo wanaweka kilo kma 5 za sukari iyo inafnya juice Kua na Radha tamu muda wote

Sukari hiyo inadumu sana kutokana na utaratibu wanaotumia ni tofaut

Yeye pia amekiri ni hatari kwa watumiaji na kunipa ushAuri ni vema niwe napewa juice fresh Ila sio ya kwenye ndoo

Baada ya hapo nikaagiza juice fresh ninaona sio tamu kabisa akajibu msimu wa miwa Bado Ndio maana wanatumia njia ya kuweka sukari za kiwandani

NAOMBENI tuwe makini sana na juice hizi
.miwa ya rushoto mitamu zaidi ya sukari
 
Umewekewa sukari kwa upendo mkubwa bado unalalamika! Ulitaka wakuwekee magadi siyo!
 
Kuna kitu mchunguze kwanini wanaume hasa wa makamo wanapenda vitu nitakavyo taja hapa... Pia jiulize kwanini ukitumia vitu hivi utajisikia tofaut kimwili hasa ukitumia ktk vijiwe vya mkusanyiko wa watu wengi...
Hakukuambia jambo lingine la siri juice za miwa wanachanganya na madawa ya nguvu za kiume... Hata supu za pweza wanaweka madawa ya kuongeza nguvu za kiume... Hata kahawa za vijiweni pia wanachanganya na madawa ya nguvu za kiume... Hata juice ya tende wanaweka madawa ya kuongeza nguvu za kiume....
Ndio maana watu wanakufa ghafla, ndio maana magonjwa ya moyo ni mengi, ndio maana maana presha na kansa zaongezeka...
Mkiwa ktk mihangaiko yenu msipende kunywa na kula kula hovyo...
 
Hata supu za pweza wanaweka madawa ya kuongeza nguvu za kiume... Hata kahawa za vijiweni pia wanachanganya na madawa ya nguvu za kiume... Hata juice ya tende wanaweka madawa ya kuongeza nguvu za kiume....
Ndio maana watu wanakufa ghafla, ndio maana magonjwa ya moyo ni mengi, ndio maana maana presha na kansa zaongezeka...
Mkiwa ktk mihangaiko yenu msipende kunywa na kula kula hovyo...
Ni sawa tu maan sukari hutokana na miwa, kwa hiyo hakuna lililoharibika hapo, ni miwa ongeza miwa!
 
Ukimaliza kunywa potea, ukibonyea chini ya meza ukaagalia yale maji wanayotumia...,

Utakuja na mada nyingine ya kuuliza mtaalamu/hospital nzuri ya magonjwa ya tumbo.
 
Bongo ukijifanya unapenda kula kula unaondoka na maradhi
Bora kuishi kwa kufanya unachotamani au kuweza ! Maisha yenyewe hayana guarantee!!! Utajibana usifanye hiki au kile lakini mwisho wa siku sote tunakufa .
Maisha yangekuwa fair sana kama kungekuwa na bonas kwa wale waliojitahidi kuishi kwa nidhamu .
 
Back
Top Bottom