Juisi za miwa Kariakoo wanaongeza sukari

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,211
Hii kwa wale ndugu zangu wanakunywa juice za miwa

Katika utafiti wangu wa kunywa juice ya miwa nilianzia Tegeta, Kawe na Kkoo

Tofauti imekuja kwanini juice ya Kkoo inakuwa tamu sana kuliko zote

Ikanibidi nijenge mazoea na muuza juice 1 hivi shabiki wa simba ili anipe siri ya kwanini..

Mwisho wa siku alikuja kuniambia siri yao kubwa ni kwamba wanaweka sukari za kiwandani

Inawekwa vipi?
Kabla ya kuweka barafu za mwanzo wanaweka kilo kma 5 za sukari iyo inafnya juice Kua na Radha tamu muda wote

Sukari hiyo inadumu sana kutokana na utaratibu wanaotumia ni tofaut

Yeye pia amekiri ni hatari kwa watumiaji na kunipa ushAuri ni vema niwe napewa juice fresh Ila sio ya kwenye ndoo

Baada ya hapo nikaagiza juice fresh ninaona sio tamu kabisa akajibu msimu wa miwa Bado Ndio maana wanatumia njia ya kuweka sukari za kiwandani

NAOMBENI tuwe makini sana na juice hizi
 
Nimewahi kufakamia hapo Kkoo juisi ya Miwa enzi hizo nikiwa na Mshikaji wangu Ally Mpemba,aiseee niliharisha sitokuja kusahau na ndiyo ukawa mwisho wa Kula na Kunywa ovyo hapo Kariakoo!
 
Sasa itakuwaje kama juisi ya miwa inaongezwa sukari wakati sukari nayo inatengenezwa kwa miwa?
Hiyo si ni kama mapenzi ya jinsia moja? Au nyie mnaonaje wajameni?
 
Bongo ukijifanya unapenda kula kula unaondoka na maradhi
Kuna vile vimishikaki vinachomwaga sana unakuta vimenona kweli basi watu wanapata na vindizi choma na vile vimishikaki huwa nawaangalia sana watu..siwezi kabisa kuvila vile.
Unajua jiji kama hili watu wanatafuta surviving kwahiyo wanaweza fanya lolote lile..unaweza kula hata nyama ya paka au dog
 
Nimewahi kufakamia hapo Kkoo juisi ya Miwa enzi hizo nikiwa na Mshikaji wangu Ally Mpemba,aiseee niliharisha sitokuja kusahau na ndiyo ukawa mwisho wa Kula na Kunywa ovyo hapo Kariakoo!
Ally mpemba bado yupo...?
 
Back
Top Bottom