Juisi Ya Melon Na Embe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juisi Ya Melon Na Embe

Discussion in 'JF Chef' started by X-PASTER, Jul 18, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Juisi Ya Melon Na Embe

  Vipimo Na Mahitaji


  • Tikiti la asali (honey melon)..............1
  • Unga wa embe au embe...................1
  • Tangawizi........................................1 Kijiko
  • Ndimu..............................................1
  • Sukari..............................................ΒΌ Kikombe cha chai
  • Arki rose..........................................2 Matone

  Namna Ya Kutayarisha

  • Limenye melon na ulikate kate kisha tia kwenye blender
  • Tia unga wa embe au embe iliyokatwa katwa
  • Kisha tia ndimu iliyokatwa vipande kiasi pamoja na maganda yake
  • Halafu weka sukari
  • Saga vizuri hadi ilainike

  Mimina kwenye jagi kisha tia matone mawili ya arki rose ukoroge na tayari kwa kunywewa  Kidokezo:

  Ukiweka ndimu weka na maganda yake unapata ladha nzuri zaidi.
   
 2. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  mh!! am salivating, ila mkuu naomba kuelekezwa hiyo arki rose ndio nini?? thanx in advance
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  napenda juic asilia yenyewe bila kuongeza sukari wala chochote kila labda maji kwa mbali ucpme utamu wake
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Arki ni essence inaweza kuwa ya aina yeyote
   
Loading...