Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #41
Pombe hapana kabisaMh! kuna vitu ukija kuvijua utafaidi sana wewe inatakiwa ukalishwe mahali upewe somo kwa kutest utaacha hayo matende!, tende zinaumiza meno babu!
Pombe hapana kabisaMh! kuna vitu ukija kuvijua utafaidi sana wewe inatakiwa ukalishwe mahali upewe somo kwa kutest utaacha hayo matende!, tende zinaumiza meno babu!
Ukija tu nakutengenezea 😃
nani amekuambia kila kitu ni pombe!Pombe hapana kabisa
Ww unatumia pombenani amekuambia kila kitu ni pombe!
Mh! upo sawa kijana..?Ww unatumia pombe
Una demu wa uhakika baada ya kunywa hii juice yakoHello
Leo bhna nimeamua tujifunze kutengeneza juice ya tende
Mahitaji
Maziwa
Tende
Hatua ya kwanza chukua tende zaka kama hivi
View attachment 3276230
Kisha anza kutoa mbegu za tende zile zilizopo katikati kama hivi
View attachment 3276234
Baada ya hapo nikachukua maziwa mimi nilichemsha kwanza
View attachment 3276235
Nikachukua tende na maziwa nikaweka kwenye brenda
View attachment 3276236
Maziwa unaweza weka kiwango unachotaka ila hakikisha haya zidi ikafanya juice iwe nyepesi
View attachment 3276237
Juice yangu hiyo ipo kwenye jokofu nasubiri ipate ubaridi niinywe
Mimi nitakula na ndizi za kukaaanga wewe unaweza kula na kitu chochote ukipendacho wewe
Usinunue juice ya tende mwambie mkeo au tengeneza mwenye mzuri kwa afya yako
View attachment 3276240
Hapana sabun na futa 😂Una demu wa uhakika baada ya kunywa hii juice yako
😂 ndio bossMh! upo sawa kijana..?
nakushauri futa la nazi ndio zuri zaidi 😆Hapana sabun na futa 😂
😂😂😂 sio linachubua 😂nakushauri futa la nazi ndio zuri zaidi 😆
Inakuwa mzuri? Sipend ndizi kwenye juiceUwe unaweka na karanga kdg zilochomwa na ndizi mbivu kdg na habatsauda km chembe 7-10
Nzuri sana tena. Basi sio lazima. Weka karanga kdg au korosho kdgInakuwa mzuri? Sipend ndizi kwenye juice
Nitajarabu soonNzuri sana tena. Basi sio lazima. Weka karanga kdg au korosho kdg
Inakuwa yummy
Sisi hapa home mtengenezaji wa hio juice ni mume wangu. Ndio kitu anajua kwa upande wa mapishi 🤣Nitajarabu soon
Kwahy wewe unapika yeye anatengeneza juice uku una mpa umbea wa mtaan na ofisn kwenu 😂Sisi hapa home mtengenezaji wa hio juice ni mume wangu. Ndio kitu anajua kwa upande wa mapishi 🤣