Juice ya tende na maziwa

Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho

Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo

Then enjoy juice ya tende......
fresh ama mtundi?
 
Samahani naomba kuuliza, hivi hizi tunazonunua madukani ni sawa na hizi zinazovunwa hapa nchini? Kama ndiyo wanazitengenezaje hadi ziwe vile?
Ni kweli hususan kwa men .....ila ni kinywaji/mlo mzuri sana nakunywa hii every day its good for your skin too

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho

Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo

Then enjoy juice ya tende......
Hii kitu ni noma sana
 
Aisee hii Sharubati ni nzuri sana. Nimeshawahi kuiandaa mwenyewe nyumbani. Kama mhusika si mpenzi wa tende kazi yako ni kuongeza kiasi cha maziwa unayosagia au baada ya kusaga. Nakuhakikishia utalamba 'Blenda'..... Kitu pekee ambacho unaweza weka ama ukaacha ni karanga, maana viungo vikuu ni maziwa na tende zenyewe. Mungu Akupe nini tena kama si kidonda ufukuze nzi...
 
Aisee ninapokunywa hii juice week mfululizo kila sku basi lazima nijikojolee usingizini ule mkojo mzito mweupe
 
Siku hizi kila chenye kuitiwa NGUVU ZA KIUME kimekuwa dili! Siri ipo hapa kwamba kila anayekula anazitengeneza mbegu mwilini mwake, isipokuwa wale wanaokula PROTINI kwa wingi basi hao huzalisha kwa wingi...
Sasa hawa wanaoshinwa kutumia maumbile yao na kuzisingizia nguvu ni kwamba: MACHO YAO HAYATULII Haiwezekani kila mzigo unaokupitia wewe unausindikiza hadi ukikata kona, halafu ukirudi nyumbani ndo unataka kile kifupa chako ukimalizie hasira zako wakati akili yote sasa imeharibiwa na mizigo! Ebo!:confused:
Inamisheni macho yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom