LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,157
- 1,676
Vp inaongeza joto mwilini?uzuri wake nin?
Vp inaongeza joto mwilini?uzuri wake nin?
NiceMahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho
Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo
Then enjoy juice ya tende......