Juice dispensa used anaeuza naitafuta

Juice dispensa used anaeuza naitafuta

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,578
Reaction score
20,201
Anaeuza juice dispensa used yenye zile sehemu mbili sijui zinaitwaje...naomba tuwasiliane inbobo
 
container mbili,

haya madude ni ghali hatari m mwenyewe nataka nichukue la mitungi mitatu jipya ni 1.2M, ila sikushauri sana used za bongo
 
1.2? Mbona kama kubwa sana
yaps, au hata zaidi, ila kuna chimbo flan hivi ninalotarajia kwenda kuchukua naweza pata hata kwa 1M km nitachukua na vitu vingne,
hio ya mitungi miwili waweza pata kwa 800K-900k mpya, chini ya hapo huwez pata, used sijajua chimbo zake ila kama upo dar ukifanya survey lazima kuna sehem zipo,
unataka kwa lini? Na upo wapi?
Nakushauri km upo dar nenda k.koo kafanye survey ya bei kwanza ya mpya na used ili upate picha. Ukikwama niambie KAMA naweza kukusaidia.
 
Asante
 
Sisi tunauza Mpya Mkuu tank tatu 1.2m na tank mbili Laki Tisa nitafute 0762612213 Najidakia online store Kwa huduma bora
sikushauri used labda ununue Kwa mtu anaiuza Kwa shida
 
Back
Top Bottom