Bait
Member
- Mar 17, 2012
- 24
- 0
jamaa mmoja alikwenda hotelini akaagiza juisi ya apple lakini alipo ionja ikawa na ladha ya sabuni,akauliza "mbona hii juic inladha ya sabuni? mhudumu akamjibu 'samahani kaka hiyo itakuwa juic ya mapela...maana juic ya apple hapa kwetu huwa na ladha ya mafuta ya taa!!