Juhudi za kumsafisha Mh. Lowassa zazidi shika kasi, sasa ni KKKT Shinyanga mjini

Wenye visilani na chuki zao binafsi moyoni dhidi ya Lowassa wajinyonge tu kwa sababu kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji! Alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani! Kwa watu kama sisi tunaotaka uwajibikaji serikalini, Lowassa ni chaguo letu.
 
Nakumbuka hata enzi za Yesu binadamu walimchagua Barabas. Hainishangazi kabisa.
 
Huyu jamaa haoni aibu tu? Yaani kelele zote za watanzania bado hakati tamaa lol!!
 
Mwacheni Lowasa asonge mbele kujitafutia hazina yake mbinguni baada ya duniani kuwa ngumu......kwanza afya yake ni mbaya sana angalia kale kastroke minor alikopata mwaka juzi mpaka sasa haoni zaidi ya mita kumi.kweli ungekuwa wewe ungeacha kutoa dhaka kweli na marafiki wote wenye hasira ya kubanwa kuiba vema wanamuunga mkono ili waje warudi kwenye ufalme wao wa kuibia nchi yetu
 
alikuwepo na alianza zamani sana ufisadi kupitia makanisa, MoU ya 1992 yeye ndio alikuwa piooneer; kwa hiyo hapo anawakumbusha fadhili zake zinaendelea...

Ikibidi wampe mgawo wake wakati wa uchaguzi
Mkuu tropical hebu nisaidie kidogo. MoU ya 1992 ilisainiwa chini ya utawala wa nani? Je haikuwa na baraka za serikali? Lawama anatakiwa apewe nani kwa kuridhia hiyo MoU?
 
Mwacheni Lowasa asonge mbele kujitafutia hazina yake mbinguni baada ya duniani kuwa ngumu......kwanza afya yake ni mbaya sana angalia kale kastroke minor alikopata mwaka juzi mpaka sasa haoni zaidi ya mita kumi.kweli ungekuwa wewe ungeacha kutoa dhaka kweli na marafiki wote wenye hasira ya kubanwa kuiba vema wanamuunga mkono ili waje warudi kwenye ufalme wao wa kuibia nchi yetu
Mwacheni Lowassa amtolee Mungu kwa kuwa hata neno la Mungu linasema mtu asije nyumbani kwangu mikono mitupu. God Bless Lowassa
 
Alikuwa waziri na maji wa waziri mkuu. So, he was very busy. Now he is just a member of parliament. He has ample time to involve himself on such activities. Any more questions?

Mkuu una akili sana. NOW HE HAS AMPLE TIME.

Umejibu vyema. Wapinzani wa ELAir sijui kwanini hawataki kufikiria nje ya box!?
 
Anaweza kuwa anataka kugombea uaskofu mkuu jamani. Si huwaga wanafanya kampeni na kupigiwa kura hao?
 
Alikuwa waziri na maji wa waziri mkuu. So, he was very busy. Now he is just a member of parliament. He has ample time to involve himself on such activities. Any more questions?

@gosb...
Nimependa sn majibu yako ur gentleman kaka,pamoja sana Edo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwaka huu itakula kwao
 
Ni majira ya saa tisa na dakika ishirini msafara wa mh.Lowasa uliingia kwenye manispaa ya Shinyanga mjini ukiongozwa na gari la askari polisi,ziara hiyo ni miongoni mwa ziara za kuchangia katika harambee za kujenga makanisa mbalimbali ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha zaidi na kukubalika na waumini wa madhehebu mbalimabali.Duru za kisiasa mkoani humo zinazidi kutabanaisha kuwa ilikuwa harambee hiyo ifanyike jumapili iliyopita,ila kutokana na msiba mkubwa wa aliyekuwa mzazi mwenzake harambee hiyo iliahirishwa.Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika hapo kesho.Nitaendelea kuwaletea kila kinachojiri

Hii ni aibu nyingine hususan kwa wananchi wa mkoa wa shinyanga ambapo kanisa linatumika kujaribu kusafisha maouvum ni mkoa ambapo mamilioni ya fedha chafu yalitumika kujaribu kuweka vibaraka hakika jitihada zinazofanyika hazitafankiwa hata kama nyumba za mungu zitatumika kuhalalisha ufisadi na kusafishana,
Swali moja la msingi Lowassa anatowawapi fedha zote hizo,anabiashala gani,inaingiza sh ngapi kwa mwaka.kama si fedha za wanyonge na walipa kodi!

Natowa wito kwa watanzania wajuwe kila anaefurahi na kushiriki kutumia fedha hizo ajuwe moja. Damu ya Watanzania iko juu yake
 
Hahaha! Hata Mafarisayo walimpinga Yesu kula kwa Zakayo! Go Lowassa go!
 
Wanajamvi kwanza samahanini sana,

Moderators nitashukuru sana kama mawazo na mtazamo wangu utaheshimiwa.

Lengo langu sikupenda kuandika habari ndefu hivyo mtanisamehe kwa habari hii fupi kwa Mh. Lowassa

1. Watakwambia mkaa safi wakati waogopa
kukushika maana watachafuka pia

2. Anayekushika unamwachia masizi

3. Ukibebwa kwenye mfuko tu mfuko
wenyewe haufai tena kwa kubebea kingine.

Sasa mkaa wewe tukufanyaje?kama sio
kukutia kwenye moto kukupikia?
Yaani wewe mkaa(lowasa)utafaa kwenye
kampeni za wengine tu yaani(kukupikia)
Na baada ya hapo chombo chenyewe
(ccm)kitabaki na masizi.

Je, fikra zangu zinafanana na zenu?

Naomba kuleta kwenu.
 
Back
Top Bottom