JUDGMENT DAY: MAY 21st, 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JUDGMENT DAY: MAY 21st, 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimatire, Jan 28, 2011.

 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We know that the year 2011 is the 7000th year from the flood. We also know that God will destroy this world in that year. But when in 2011 will this occur?

  The answer is amazing. Let's take another look at the flood account in the book of Genesis:

  Genesis 7:11 In the six hundredth year of Noah's life, in the second month, the seventeenth day of the month, the same day were all the fountains of the great deep broken up, and the windows of heaven were opened.

  Faithful to His Word, God did bring the flood 7 days later in the 600th year, on the 17th day of the 2nd month of the calendar aligned with Noah's lifespan. It was on this 17th day of the 2nd month that God shut the door on the ark, securing the safety of its occupants and also sealing the fate of everyone else in the world outside of the ark. They would all now certainly perish in that worldwide catastrophe.

  Genesis 7:16,17 And they that went in, went in male and female of all flesh, as God had commanded him: and the LORD shut him in. And the flood was forty days upon the earth; and the waters increased, and bare up the ark, and it was lift up above the earth.

  Earlier it was mentioned that the church age came to an end in the year 1988 AD. It so happens that the church age began on the day of Pentecost (May 22nd) in the year 33 AD. Then 1955 years later, the church age came to its conclusion on May 21st, which was the day before Pentecost in 1988.

  The Bible teaches that the end of the church age would occur simultaneously with the beginning of the great tribulation:

  Matthew 24:21 For then shall be great tribulation, such as was not since the beginning of the world to this time, no, nor ever shall be. YouTube - May 21, 2011, Judgment Day
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I wish it were just a joke!...Utaacha matumbo yaanze kuunguruma mazee!...tumetoka kula bana!
   
 3. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  The bible does say near the end there will be false prophets, (like this date) and many predictions have come to pass according to the bible, but not all of them yet, so I will stick to gods words " No one knows about that day or hour, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.":twitch:
   
 4. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  May 21, 2011 will mark the second coming of Christ, or at least that's what some Christian groups believe.

  The date was calculated by Harold Camping, the leader of an independent Christian ministry called Family Radio Worldwide, which is based in Oakland, Calif. Camping's date is based on his interpretation of the bible.

  Camping's group isn't the only one following his apocalyptic prediction though. A number of loosely affiliated websites and radio broadcasts have created a movement independent of churches that have organized to proclaim the day as the end of the world.
   
 5. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  PJ bwana! kumbe siko peke yangu. i ril hop its not true
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  yo ver rite,but we have to be ready as we dont know that day or hour.
   
 7. E

  ELLET Senior Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUJA KWA YESU: Soma Mathew 24. Matukio yote yaliosemwa na YESU yamekamilika, kuna matukio machache kama 'chukizo la uaribifu', mateso kwa watakatifu na mapizo saba.
  Hi 21st May 2011, ni uongo, no body knows the day and the time! but its very soon.
   
 8. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mh, acheni kuogopesha watu bure.. Mi siamini kuna end of the world anytime soon.
  1. There has been countless prophecies over the years na zote zimefail 100%
  2. Kama bible inasema hata malaika hawajui, nyie mmejuaje?
  3. Hizo dalili mnazosema zimetokea ni zipi? Maana mi nnavyojua hivyo vitu vimekuwa vikitokea since creation. Floods, earthquakes, deseases, false prophets wamekuepo tangu BC.
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka Kibwetere alifanya watu waamini kuwa mwisho wa dunia umefika halafu akawaambia tumpunguzie izraeli mtoa roho kazi kwa kujiteketeza.

  My take.

  Kuna kichaa mmoja anataka kuwateketeza wenzake so subirini msikilizie kifuatacho ITV............
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kibwetere angepata kama wewe wengine mia tusingekuona hapa JF.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na wengine wanasema 2012!
   
 12. E

  ELLET Senior Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu suio muongo kama sisi binadamu, na usidhani miaka 2000 kwake ni minji, actually ni kama siku mmoja! YESU alisema atarudi, na kweli atarudi, when? no body knows, ila by the current trend of events, we are nearing his return. Nuhu kahubiri kwa miaka 120 na watu walidhani ni kicha, but what happened? Floods- and only 8 people were saved. God is not all about the majority, HE is after those who truly follow HIM. Sodoma na Gomola ni fundisho lingine!
  Watu wengi wanaogopa mwisho wa dunia kwasababu wako busy na miasha ya kila siku na ya badae (which is a very good ), wakiangalia utajari wao ukiwaambia kuja kwa YESU wanaona kama stori vile!
  Ishi maisha yako as if YESU anakuja sasa hivi, ila fanya mipango yako as if u will live for the next 100 years! And why would u fear HIS return anyway, unless kama wewe unajua sio mwaminifu!
   
 13. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ghaaaah!... r u God!?...
   
 14. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  hakuna mwisho wa dunia iwe leo au kesho, dunia itaendelea kuwa dunia milele, hivyo ni vitisho vinavyoandaliwa na watu kwa maksudically ili tuishi kwa hofu.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mythical idiocy
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  bible inasema hakuna ajuae siku, saa wala dakika. sasa wewe unatafsiri vp hili? anaejua siku ya hukumu ni Mungu mwenyewe
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ishini kwa kumtii Mungu basi hakuna ajuae siku wala saa hata yesu alisema hajui,hao ni manabii wa uwongo tu hao,wengine wanasema mwisho wa dunia itakuwa 2012 wkt sayari ingine itakapogongana na dunia, wnegine wanasema yesu anakuja soon ukisoma Daniel na Ufunuo matukio mengi mbona bado kutokea? tusubiri hadi pale injili itakapohubiriwa dunia nzima imkubali Yesu na Marekani atakapotawala dunia na kuwauwa wafuasi wote wa Kristo wakitaka tuwaamini wai nk,,,mhhhhh inachanganya bwana msitutishe wala nini tupo ndani ya yesu anaweza kuja hata leo au kesho.
   
 18. D

  Derimto JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sipendagi sana malumbano hasa yahusianayo na imani maana ukianza kuchangia kitu humu ndani utakunata watu mbalimbali wanajua haya mambo na wasabato ambao wao kidogo huchambua haya mambo kiundani lakini nianachofahamu kulingana na maandiko ya Biblia takatifu ni kuwa hakuna ajuaye siku wala saa na hata mwana mwenyewe (YESU KRISTO) hajui ila baba kulingana na Mathayo 24 ila tumepewa akili ya kufahamu dalili za kuja kwake na pia kusoma alama za nyakati na pia dalili nyingi zinaonekana dhahiri shahiri na kwa upande mwingine kuna watu ambao ni wataalam wa namba na wao huyaunga matukio na kiundani sana ulimwengu huu unatawaliwa na namba na hivi majuzi tu nilikutana na mtu akanipa kipeperushi kinachoonyesha mwisho wa dunia ni 12/05/2012 kulingana na hesabu walizopiga ni kama zinaendana ingawa hiyo hainifanyi kuwaamini kwa maana ninachojua ni hiki siku ya mwisho ipo na inakuja na hakuna ajuaye siku wala saa na kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake.
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa dunia hii hauwezi kuletwa na MUNGU!....Kwa wanaomfahamu vizuri MUNGU, hana ubavu wa KUANGAMIZA hata sisimizi, ije kuwa watu? Poleni. Your world Ends when you die.
   
 20. Evmem

  Evmem Senior Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jesus said "I will come like a thief, no one knows the time nor the day, even he himself except his father God, so prepare yourself and trust in his word
   
Loading...