Yaani hapa nilipo natubu jamani siko nyumbani niko naaaaaaaaaaaa! Basi ok kuna yule jamaa ananidai 50m za Obama namwomba anisamehe! hiyo imekula kwake! Aafu mama Eeka Mangi unisamehe maana toka saa ile niliyoaga niko na yule binti! Dah yaani itakuwa baada ya saa 6 usiku ama?
bado masaa machache ifike trh 21/05/2011, hapa nimechukua mkwanja wakutosha, leo ni kula bada mpaka basi. Kiama kitanikuta baa, je wewe utakuwa wap? Unafanya nin?
akuna mtu ajuaye saa wala siku isipokuwa mungu tu pekee hlo hata Yesu alikiri akuna ajuaye siku wala saa dhiki kuu ijafika ndo leo au kesho dunia ikwishe''? Hizo ni ndoto za wale wasiyo lisoma neno la Mungu