Judging Gaddafi with open mind!!!

Sina uhakika mtoa mada alikuwa kajiandaa kutoa mada nahisi kakurupuka! Tanzania hatuna utamaduni wa kushangilia kifo cha mtu (B. Membe) je hata hili hukulisikia na limesemwa na Waziri wako anayejua mambo ya kisiasa ya nchi zingine kwakuwa ni kazi yake kwa miaka mitano na zaidi?!
 
on top of that,ten days kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,ccm walimtuma membe personal kufata ten billion kwa gadaff ili kuja kusaidia uchaguzi,ana kila sababu ya kuguswa na kifo hiki,membe kaisemea sisiem na si Tanzania

sasa mbabe wao hayupo sasa siju watamlilia nani tutakapowashikisha adabu......comes 2015...........
 
for presidency 2015

everyone can dream but very few realize their dreams.........................membe will leave with his mentor jk when he departs from the throne.................even ccm insiders are questioning his i.q.................upeo wa membe ni kama wa meghji......................mbinu yao ni kuongea kwa vitisho wakifoka..........na huku wakirusha mate.....................wanafikiri kwa kufanya hivyo tutawaogopa kuwa mbongo wananzo................wasichojua ni kuwa.............................................you can cheat all people for sometime..................or some people all the time....................but God will not allow anybody to cheat all the people all the time.
 
mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?

Usiongee kitu usichokijua!!!
 
mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
Kwani mpaka sasa hujui JK alishampa RIZ1 madaraka hata ya kuchagua Rais ajaye??
 
mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
Africa ni bara jeusi. Limejazwa vibaraka na majuha, hata wanamapinduzi wachache waliopo hudharauliwa na kuonekana wenye dhambi tu.
Ulaya pamoja na utajiri wao na nguvu za kiuchumi na za kijeshi walizonazo, wameungana pamoja, wanatumia sarafu moja na wana jeshi moja.
Sisi miafrika tuliolaaniwa tunapigania utengano. Usiwashangae majuha wa Libya (Kukataa maisha bora kabisa katika viwango vya kidunia, kwa kushawishiwa na dhana ya kijinga kabisa ati dikteta katawala miaka mingi, anataka kumrithisha mwanawe), hata kama angetawala mpaka kifo chake cha halali, serikali yake ilipigania ustawi wa watu wake na mataifa mengine masikini ya kiafrika.
Sisi wenye kujidai tuna demokrasia ya kuchaguana tuna nini? Kila kiongozi anayeingia madarakani anafanya ufisadi wa aina yake na kuondoka. Hiyo ndio demokrasia wanayoipenda mabeberu. Hakika hakuna hata nchi moja yenye kufuata western democracy iliyoweza kufikia ustawi wa watu wa Libya, hata hao mabwana wa vibaraka waasi (Marekani), hawakufikia ustawi wa watu wa Libya. Na Watu wa Libya watajutia kwelikweli upumbavu wao.
 
Ameanza kujifunza ku-smile siku alipoongelea chanji ya rada ajitahidi kutabasamu lakini, mnafiki utamjua kwani tabasamu linachanganyika na kukunja ndita just imagine inatoka sura gani!!! alionekana kama binadamu anatoa kitu kigumu kwenye masaburi.Loooooooooooooooooooo!!!!!
 
na mbando.....................
 
Leave gaddaf alone. he is finished

gadaffi is not really a person......it is a destructive spirit that he embodied...............................usichofahamu ambacho wababe wapya wa libya wanakijua ni kuwa............................kadaffi as a person is finished............................but what he believes in lives on through his disciples like membe...............usione haw serikali mpya ya libya yaomba nato wabakibaki kidogo hado desemba....usifikiri ni kwa bure...........................they have a reason to be very afraid...........................usishangae hata sisi tunamsaidia kadaffi na maharamia wake kimyakimya..............

jiulize miaka 42 imepita tangia kadaffi awapindue ukoo wa kifalme.....sasa yawaje pamoja na kuwafuatilia ng'ambo na kuwaua leo waweze kumpindua na kurudisha ukoo wa kifalme by default?

what comes around goes around...............
 
Hivi chaguzi zetu,kuna mgombea yoyote aliyewahi kufadhiliwa na mataifa ya nje? Kama yes, ni kwa kiasi gani? One thing that most of leaders in Africa would remember the late Gaddafi, ni huruma yake kwa waliokuwa tayari kujipendekeza na kuomba misaada hata kama ni risasi za kumpindua rais au kuzima wanaompinga. Yeyote atakayeanza was his friend indeed!
 
Benard Mende ni msilam aliyebadili dini ili akasome shule za misheni. na izo ndoto zake za linacha za kulikamia pango la magogoni naona zinamyeyukia kama barafu. mtu waliyekuwa wanampelekea kadi za michango mithili ya wafanyavo makapera wakitaka kuoa au kuolewa kafa. anajiuliza atapata wapi mchango wa 2015? labda aende kwenye miradi ya Kinana pwani ya Somalia wakateke meli.
 
Hivi chaguzi zetu,kuna mgombea yoyote aliyewahi kufadhiliwa na mataifa ya nje? Kama yes, ni kwa kiasi gani? One thing that most of leaders in Africa would remember the late Gaddafi, ni huruma yake kwa waliokuwa tayari kujipendekeza na kuomba misaada hata kama ni risasi za kumpindua rais au kuzima wanaompinga. Yeyote atakayeanza was his friend indeed!
Huenda Membe nae yupo kati ya watu waliokuwa wanafadhiliwa na Gadafi katika mbio zake za kuelekea 2015
 
Bado hapa kwetu kitatokea kama kilichotokea kwa gaddafi waendelee tu kufanya upuuzi nq kuifanya hii nchi ni ya watu kadhaa, hamna mtu aliyetegemea gadaffi watamfanyia hivi au yeye mwenyewe hakutegemea haya yote, sasa CCCm subirieni tu.....
 
Hata mimi hawa WaTZ wananishangaza. Gadafi wa nini sisi kwa wakati huu? Tuna matatizo ya Kitanzania Lukuki ya Kujadili kwa faida yetu na siyo Gadafi.
 
Back
Top Bottom