huyu bwana kasoma social science akawa registrar huko zanzibar...akaja soma masters ya sheria akapewa ujaji. tanzania huyo sio mwanasheria lakini nashangaa yeye kaula tena jikoni kabisaEbwanaa eeehh wajuzii tujuzeni tupate kueelewa imekuwje au amefikaje....kuna baahatisha hata kwa majaji??kasma wakuu wa wilaya na mikoa???
huyu bwana kasoma social science akawa registrar huko zanzibar...akaja soma masters ya sheria akapewa ujaji. tanzania huyo sio mwanasheria lakini nashangaa yeye kaula tena jikoni kabisa