M mangelengele JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,293 Reaction score 1,102 Mar 14, 2018 #61 goggles said: Kwa hiyo judges wote Tanzania unafahamu utendaji kazi wao!!! Click to expand... Amemzungumzia ambaye utendaji wake ulionekana wazi wazi, wewe km unatenda vzr kwa kujificha basi utakuwa unaiogopa serikari au ndo wale wale maamuzi yanatoka kerikalini. Hata hvyo hajasema km hakuna wengine lkn huyo ndo aliyemuona yeye.
goggles said: Kwa hiyo judges wote Tanzania unafahamu utendaji kazi wao!!! Click to expand... Amemzungumzia ambaye utendaji wake ulionekana wazi wazi, wewe km unatenda vzr kwa kujificha basi utakuwa unaiogopa serikari au ndo wale wale maamuzi yanatoka kerikalini. Hata hvyo hajasema km hakuna wengine lkn huyo ndo aliyemuona yeye.