Judge James L. Mwalusanya

mkuu bujibuji huyu jaji ni mtu muhimu kwangu kwa masuala ya kisheria SINTA MSAHAU KAMWE vitabu vyake vilinisaidia kushinda kesi ya KUDHULUMIWA ARDHI BILA KUWA NA WAKILI NIKIWA NA UMRI WA MIAKA 17 ! HE WAS MY HERO!
 
Dah huyu Judge, nimekutana na precedents zake za kutosha kwenye administrave law japo sikuwa nasomea law.

Mi nouma sana huyu, apunzike sehemu salama.
 
Mungu aiweke roho ya Jaji Mwalusanya mahali pema peponi.. Ukisimamia haki dunia hii hauna maana
 
Huyu aliondoka na mahakama. Lugakingira, Katiti, Mroso, Kyando baada yao basi
 
Carbood alipokuwa rafiki wa mahakama akaamua kuichinjia mbali hoja ya MGOMBEA BINAFS,leo ndo naelewa why aliichinjia mbali,kumbe mgombea binafs hana maslah na chama chake pendwa ambacho leo anakitumikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…