Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 420
Ni sawa kabisa maana mpaka sasa katiba iliyoko inaruhusu uhuru wa mawazo, ila hilo unalofikiri kuwa sahihi kwa sasa anzisha thread yake ili upate michango ya walio wengi, mwenzako kaanzisha thread na jubilee ya Mbowe, wewe usipindishe :A S 465:
Mkuu kuna watu uungwana kwao haupo,yeye amekazana kumsema Mbowe ila hajui Mbowe anaendelea kuifanyia nn CDM