Jubilee ya miaka 50 ya mh. Freeman aikael Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jubilee ya miaka 50 ya mh. Freeman aikael Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwayu, Dec 6, 2011.

 1. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makamanda na wapambanaji tunaomba tujumuike na kamanda Freeman Aikael Mbowe (MB) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ktl ibada ya kutoa sadaka ya shukurani kwa kufikisha miaka 50.

  Ibada itafanyika ktk kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara tarehe 11/12/2011 na baadae kwenye tafrija fupi itakayofanyika Nyumbani kwake Nshara.
   
 2. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kila la heri katika hiyo jubilee!
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pamoja kamanda... :poa
   
 4. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu amjalie afya njema,na kumuongezea kipindi kingine kirefu zaidi cha maisha.
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  hongera Mtu huru!
   
 6. m

  mikogo Senior Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  happy birthday freeman
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  All the best Kamanda wa ukweli
   
 8. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  All the best Mr. Freeman Mbowe.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Vipi kadi za mwaliko zinapatikana wapi?
   
 10. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nie munamwariko? Usisahau na pilipili kama kawaida yao
   
 11. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 12. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Duh! type zenu kwa minuso.......umeambiwa usisahau pilipili na ndizi.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Keep on waiting an angel to lead your party.....Chadema waachie wana Chadema wenyewe.
   
 15. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  operation sangara+chama kukosa mtandao+kukoswa wanachama+migogoro ya kiuongozi pale juu kuanzia chacha wange!!!wakina zitto!!!ukanda!!!!!tudiscusss hayo tuone mapungufu yake na uongozi wa kamanda mbowe!!!!
   
 16. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  is not issue of an angel!!!!! Keep on waiting mbowe to lead z party and win an elction!!!!!
   
 17. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  wananchi wamechoka tu kaka!!!kama walivyochoka 1995!!!sio kwamba mrema was strategic!!!!
   
 18. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Ni sawa kabisa maana mpaka sasa katiba iliyoko inaruhusu uhuru wa mawazo, ila hilo unalofikiri kuwa sahihi kwa sasa anzisha thread yake ili upate michango ya walio wengi, mwenzako kaanzisha thread na jubilee ya Mbowe, wewe usipindishe :A S 465:
   
 19. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe si mwana CDM it seems ni kibaraka wa Magamba kwa hyo ww kaa pembeni utizame chama jinsi kinavyozidi kusonnga mbele,hayo unayoyazungumzia ni mtizamo wako binafsi kwa hyo nawe ho ndio uwezo wako
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kumbe ni kopo tupu bila mfuniko.
   
Loading...