BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,487
- 14,064
Ndani ya CCM kuna Chawa uchwara na kuna Chawa Pro Max
Chawa Promax ndio wale wanao kula nchi hawa wako kwenye Mashirika huko wanaompiga B zao huko, hawa ni wale wanao tajagwa kwenye report za CAG, hawa wanakula haswa hii nchi. Pia hawa Pro Max hata humu Jf hawapo huwezi wakuta na hawana muda wa kuwepo humu wako busy sana na Madili yaoa kuimaliza nchi.
Hawa ndio wale unawakuta wanaimba mitano tena ili waendelee kula nchi, hawa ndio wanaomba kuombea amani ili wale kwa amani.
Chawa Uchwara.
Hawa ni choka mbaya wamejaa humu sana na hata huko facebook na mitandao mingine, hawa hakuna wanacho pata zaidi ya kuwatengenezea maisha wale Chawa Pro max.
Hawa Chawa uchwara nifuata mkumbo tu kutwa nzima wako humu kutetea ujinga ilihali unakuta hata Wazazi wao ni choka Mbaya sana kule Bushi kisa sera za kihuni za CCM.
Kazi kubwa ya chawa uchwara ni kulamma miguu wale Chawa Promax na kuwatetea bila hata kutumwa na mbaya kabisa Chawa Pro wala hawawajui hawa Chawa choka mbaya uchwara.