Jua tofauti iliyopo kati ya MB na Mb

Kaka... Ni MiB vs MB na si hivyo.
Hapana mimi hapa nimezungumzia Megabyte(MB) na Megabit(Mb)
Hiyo unayozungumzia wewe ni Mebibyte(MiB)
ambayo na yenyewe inatumika kuonyesha ukubwa wa faili ila haitumiki sana
MiB
e3eb4ebb093198b72ff09376d10ef84a.jpg

MB
9690b899b2ab9f6624cb0ff7346e9b06.jpg

Mb
d79f5ea632f703368fc1ed1902205e70.jpg

78f7a1538f20f67de18d29420a167367.jpg
 
Back
Top Bottom