Jua nafasi za kazi kwa haraka na urahisi zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jua nafasi za kazi kwa haraka na urahisi zaidi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by justdoit, Feb 2, 2011.

 1. j

  justdoit Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jiunge sasa na KAZImobile urahisishe maisha yako.

  Andika KAZI(nafasi) kazi unayotafuta na utume kwenda 15522 (shilingi 250 tu)

  Mfano: KAZI UHASIBU na kwenda 15522.

  na utatumiwa ujumbe wa nafasi za kazi punde inapopatikana.Wakati wowote , popote ulipo. Kila kazi utakayotumiwa ni shilingi 150 tu !

  Au unaweza kujiunga bure hapa. www.kazimobile.co.tz
   
 2. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Walewale!!
   
 3. n

  ndekia1 Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  da wabongo wapo kikazi zaidi
   
 4. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Wizi Mtupu!
   
 5. j

  justdoit Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sawa. Toa sababu huo wizi uko wapi boss ?
   
 6. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  JF wanatoa information bure wewe unauza. HUO NDO WIZI

  What if you were charged kuweka hilo bandiko lako???!!!

  Nchi haiwezi kuendelea kama watu hawafanyi kazi,

  Watu watapataje hiyo hela ya kutuma hizo msg wakati hawana kazi?


  SHAME UPON YOU
   
 7. j

  justdoit Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du ! nasikitika kuona mtanzania mtaka maendeleo anatoa comment kama hizi.
  Kwa hiyo ungetaka service kama hii iwe bure kiongozi ?
  Hiyo SMS ya kawaida tu hutumi bure, itakuwa hii SMS yenye ujumbe wa nafasi za kazi ? NGOs peke yao ndiyo wanaweza fanya hivyo.

  Ndiyo, kila mtanzania ana haki ya kupata kazi, lakini ni lazima achangie hela kidogo ili kupata huduma muhimu kama hii.

  Kwani magazeti ni bure ? Na internet je ? ( achana na kwamba internet penetration ambayo bado ipo chini sana: less than 2% )
  Service hii imebuniwa kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida. Ndo maana ikapata Tunzo ya ubunifu ya mwaka 2010 zinazotolewa na COSTECH.

  Kwa kujali swala la gharama tumejaribu kuweka njia mbadala ya kujiunga bure kupitia www.kazimobile.co.tz. Na baada ya hapo kila kazi utakayotumiwa(ambayo umechagua) unakatwa shilingi 150 tu(VAT inclusive).

  Advantages:
  1. Spontaneity
  2. Simplicity & Time Saving
  3. Cost Effective
  4. Availability

  Gazeti la kawaida ni shilingi mia tano, na unaweza nunua gazeti ukaambulia patupu. Licha ya kwamba kuna sehemu nyingine magazeti huchelewa mpaka siku tatu au hayafiki kabisa.

  Kwa swala la kwamba natumia jukwaa hili bure kutangaza biashara yangu sioni kama ni kosa bali ni fursa ambayo inatolewa na JF. Na ndio maana watu wanaipenda kwa sababu kuna news mbalimbali zinapatikana. Kwa nini usioji watu wanaouza magari au simu akahoji kuhusu huduma muhimu kama hii kwa jamii ?

  Kwani hao wanaouza magari, simu,kompyuta hawatengenezi mamilioni ya shilingi ? Please be rational .

  Biashara yoyote ili kumfikia mlengwa inatakiwa kutumia vyanzo vingi vya habari. Ndo maana KAZImobile hutagazwa TBC, Facebook na kungineko ambapo ni gharama sana kutangaza.

  Kama una ushauri jinsi ya kuiboresha KAZImobile au kuifanya iwe nafuu zaidi kwa mwananchi wa kipato cha chini, au kushirikiana na sisi moja kwa moja unakarisbishwa sana mheshimiwa.

  Together We Can Build Our Nation.
   
 8. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hawa cndo wez hawa tena wapo kibiashara zaid yan ni kama fund wa cmu na kuwa muongo ila hapa watanimalizia vocha 2uu
   
 9. j

  justdoit Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
Loading...