Jua kinachoendelea TRA post ya Assistance Accountant Hapa

Acheni kupotosha watu, vimemo hakuna wala nini... tra ya sasahv c kama ya mwanzo, mi nna rafik zangu kumi wamepata nafasi mwaka huu zile nafasi za ass. tax officers... Acheni kukatisha watu tamaa
 
Bwana Mdogo zanishaha nilidhani utakuwa umenielewa.Ni hivi kazi za TRA zinahitaji kwa uwe na kigogo wa kukushika mkono pamoja na vyeti vyako.Umewahi kujiuliza maswali yafuatayo.

[1] Tanzania ina mawaziri wangapi,wakuu wa mikoa wangapi,wakuu wa wilaya wangapi,wakuu wa polisi,magereza,uhamiaji,jwtz,mabalozi...... ?.Ukipata idadi yao fikiria vimemo vingapi vitakuwa mezani kwa Kitilya

[2] Zanzibar wanataka mgao wao wa ajira katika vyombo vyote vya muungano

[3] Makamishna wa TRA nao wana ndugu jamaa na marafiki.


Sikukatishi tamaa bwana mdogo lakini napenda kama utapanua mawazo yako vizuri zaidi kwa kuangalia ajira sehemu nyingine usijepata presh katika umri mdogo.
ondoa shaka kwa hilo ntakukumbusha
 
hii TRA hii!!!
1. una 3.5 gpa na kwenda juu???.. kama hauna,,
2. una MTU MZITO wa kukushika mkono??? kama hauna,,,
3. kama hauna hivyo vigezo juu japo kimojawapo basi ukibahatika written interview,,oral wa hapo 1 na 2
 
hii TRA hii!!!
1. una 3.5 gpa na kwenda juu???.. kama hauna,,
2. una MTU MZITO wa kukushika mkono??? kama hauna,,,
3. kama hauna hivyo vigezo juu japo kimojawapo basi ukibahatika written interview,,oral wa hapo 1 na 2

hivyo vitu viko wazii mzee ,but sio mbaya kukumbusha.......na mambo karibu yanaiva,ndo nchi yetu mzeee
 
Usiwe na shida ndani ya wiki hii ama wiki ijayo lazima mbivu na mbichi zijulikanae maana leo ndiyo CV zote zimepelekwa kwa consultant kwa ajili ya kuchambuliwa,nimeambiwa CV zilikuwa kama fuso moja.Na huyo consultant ndiye atakaetoa amplitude test.Usiniulize nimeyapata wapi wewe kaa tu mkao wa kuitwa interview ya kuandika

kkkkkkkk?????
 
Back
Top Bottom