Kama ulikua huijui nchi ndogo kuliko zote dunia ni ipi wacha nikufahamishe;-
Nchi ndogo kuliko zote duniani ni VATICAN,
VATICAN ni nchi iliopo ndani nchi ya ITALIA katika jiji la ROMA,
Nchi ya VATICAN lugha yake ya taifa ni ni KILATINI,
Fedha ya nchi hiyo ya VATICAN inaitwa YURO,
Nchi ya VATICAN ina ukubwa wa hekta 44 sawa na kilometa 0.44,
Nchi ya VATICAN ilipata uhuru wake 11/2/1929,
Unaweza kushangaa kusikia kuwa VATICAN pia imepata uhuru si ndio,
Sasa nikwambie tu kuwa awali hapakua na nchi iitwayo VATICAN,
VATICAN asili yake ilikua ni jina la mtaa uliopo ndani jijini la ROMA,
Baadae mtaa huo wakaamua kuupa hadhi ya nchi kamili,
Ili kutenganisha utawala utawala wa kidini nawa kidunia,
Ilikua huru kutoka kwa nchi ya ITALIA kupitia mkataba maalumu,
Mkataba huo ulisainiwa na dikteta BENITO MUSOLIN,
Kwaniaba ya mfalme wa ITALIA wa wakati huo na PIETRO GASPAM kwaniaba ya PAPA,
Kiongozi wa nchi ya VATICAN huitwa PAPA,
Kiongozi wa nchi hiyo hupatikana baada ya PAPA aliepo KUFA au kuacha kazi kutokana na matatizo ya KIAFYA,
Nafasi ya PAPA huombwa na makadinali kutoka duniani kote,
Na baadae jopo la uchaguzi wa PAPA hukaa nchini humo na kumchagua mmoja,
Huwezi kuwa PAPA kabla hujawa kardinali,
Kardinali ndio cheo cha juu kabisa kabla ya PAPA katika kanisa katoliki,
Kikawaida kila nchi ina kardinali mmoja tu,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo kiongozi wake wa nchi,
Huwa si raia wa kuzaliwa wa nchi hiyo kabisa kabisa,
VATICAN ndio makao makuu ya kanisa katoliki duniani,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake wote,
Sio raia wa kuzaliwa na uraia wao unakikomo kulingana na pasport zao,
VATICAN ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na mabalozi wengi duniani,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo ukienda kuwakilisha nchi yako,
Unatakiwa uishi nchi nyengine na sio vatican,
Nadhani hujanielewa wacha nifafanue yaani iko hivi,
Ukichaguliwa na rais wako uende kuiwakilisha nchi yako nchini VATICAN,
Unaenda kuripoti VATICAN halafu unatakiwa kwenda kuishi ROMA nchini ITALIA na sio nchini VATICAN,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake karibu nusu huishi nje ya nchi hiyo katika balozi zake,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake wote ni dini moja na dhehebu moja tu,
Raia wa VATICAN uraia wao ukiisha huwa raia wa ITALIA moja kwa moja,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo zaidi ya nusu ya nchi hiyo ni bustani tu,
Nchi ya VATICAN watu wake jumla ni 791,
Hiyo idadi haitakiwi kuongezeka wala kupungua,
Nchi ya VATICAN ina mabalozi zaidi ya 180 duniani kote,
Walinzi wa nchi hiyo hutoka nchi moja tu duniani,
Nayo sio nchi nyengine ni nchi ua USWISI na walinzi hao huitwa walinzi wa PAPA,
Idadi ya walinzi wa nchi ya VATICAN ni 100 tu hawapungui wala kuongezeka,
Nchi ya VATICAN raia wake hawalipi kodi,
Nchi ya VATICAN hupata kipato chake kupitia utalii, stempu,
Pamoja na michango kutoka kwa wanachama au waumini wa dini hiyo duniani kote,
Nchi ya VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo ukitaka kwenda huko,
Unatakiwa ukate pasport ya nchi nyengine ndio ufike,
Nadhani hujanielewa wacha nifafanue yaani iko hivi,
Nchi ya VATICAN yenyewe haina pasport wala VISA,
Kwahiyo ukitaka kwenda VATICAN unatakiwa ukate VISA ya ITALIA,
Ambayo hiyo ndio itakayo kuwezesha kuingia moja kwa moja VATICAN,
Raia wa ITALIA huingia bure nchini VATICAN bila kuulizwa,
VATICAN ndio nchi pekee duniani ambayo wanawake wote wa nchi hiyo ni masista,
Makao makuu ya nchi ya VATICAN yapo katika kanisa kuu la nchi hiyo,
Ambalo pia ndio kanisa kuu la wakristo wa dhehebu la ROMA duniani,
Kanisa kuu la wakristo wa dhehebu la ROMA duniani linaitwa St.Peter,
Kanisa hilo la St.Peter lipo nchini humo VATICAN,
Katika nchi ya VATICAN kuna kanisa moja tu liitwa St.Peter,
Ni marufuku kuoa au kuolewa ukiwa VATICAN.
Makala hii imeletwa kwenu na na Dhulkad Madara kutoka morogoro