The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,068
-Style ya kufanya mapenzi ya kifo cha mende (missionary) ndio pekee inayotambuliwa kisheria washngton DC,nyingine zote ni kinyume cha sheria,ukibainika unaishia jela,polisi wanaweza kuruhusiwa kukuvamia nyumbani kwako ukiwa unapiga mambo kuona unatumia style gani,ukikutwa na dogy style(kichuma mboga) au nyingine unaishia jela
-Kulala uchi bila nguo ni kosa kisheria Minnesota,ukibainika unaishia jela.
-Ni kosa kisheria kufika kileleni kabla ya mwenzako huko California,ukigundulika umefika kabla ya mwenzako au mwenzako akaenda kukushitaki unaishia jela.
-Ni marufuku kufanya ngono/mapenzi mmakaburini huko North Carolina,ukigundulika unaishia jela,wale mliokua mnachukua machangu kinondoni makaburini ya kuwalaza juu ya makaburi mgeishia jela wote.
-Ni marufuku kumuimbia imbia nyimbo za mapenzi mpenzi wako wa kike huko Kalamazoo Michigani,ukibainika ni jela moja kwa moja.
-Huruhusiwi kunywa kileo zaidi ya fundo 3 ukiwa na mpenzi wako wa kike/mkeo mkiwa chumbani huko Ames Iowa,ukibainika ni jela moja kwa moja.
- Huruhusiwi kuongea maneno machafu(dirty words) ukiwa na mpenzi wako wa kike mkiwa mnafanya mapenzi, ila yeye anaruhusiwa kusema chochote,ukibainika ni lupango mazima.
-Huko California ni marufuku kubusu maziwa za mpenzi wako/mkeo,ukibainika ni jela.
-Huko mississippi ni marufuku au ni kosa kisheria kumtongoza mwanamke kwa kumuahidi utamuoa,ukubainika ni jela moja kwa moja,hii sheria ikija Bongo vijana wote mnaishia jela.
-Huko Oklahoma ukibainka/kushikwa unamtongoza changudoa kesho yake picha yako inaonyeshwa kwenye TV.
- Ni ruksa huko Washngton kulala na mbwa au mnyama yoyote ila awe ana uzito wa kuaznia kilo 18,chini ya hapo ni jela.
-Huko arizona ni ruksa mwanamke kutembea bila blauzi na sidiria maana maziwa sio sehemu za siri.
Hapa ndio vijana wengi wa kibongo wangeishia jela
-Ni kosa kisheria kulala na mtu ambae hamjaoana nae,ukibainika ni jela, ni huko Georgia
-Ngono ya ndomo ni marufuku huko Indiana,ukibainika umeshika mike na kuflow mistari ya snop dogg au kwenda uvinza ni jela
-Ni marufuku kumkonyeza mtu kimahaba,ukibainika unakonyeza ni jela, ni huko Texas,wale vijana mnaojifanya kujua kukonyeza wake za watu na wapenzi wa wengine nendeni huko muishie jela.
- Ni kosa kisheria kula tigo ya mtu,ukibainika ni jela,wale vijana mnaopenda tigo hapa wote ni segerea na huko Ohio.
Chanzo: Fox news: FOXSexpert: U.S. Sex Laws, Amusing to Just Plain Silly | Fox News