jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
amna syo ramli sema ni elimu tu iliyofichwaramli chonganishi...
nane ni mini mum yani zuanzie nanecna kuendelea,mfano mzuri tafuta watu wawili alafu kat ya hao angalia yupi namba yake ipo karbu na yko na yupi ipo mbali amni usiamini kuwa yule mwenye ya mbali utakuwa unampnda zaid kuliko yule mwwnye ya karibuNane ndio maximum au minimum?
ulilopew wakat unazaliwaJina lipi nitumie la kwenye cheti cha shule, cha ubatizo,la nyumbani kwetu, lile ninaloitwa mtaani ,nililopewa na babu au nililojipa mwenyewe ukubwani
mwanadam anamengi ya kujifunza ndo maana ukaambiwa elimu haina mwishoPEPO LA KUVURUGA MAHUSIANO YA WATU LISHINDWEEEEE
hyo ni elimu tu,but sku moja utakumbka kuwa uliambiwaUchochezi kwenye penzi langu sitaki...siamin kama hatutadumu,,MAKINIKIA WE!!
hhahaha huyo ndo BujibujiAdam na Eve mbona herufi zao hazina tofauti ya nane ndoa yao ilidumu mpaka 900?
Ushindwe na ulegee,we naona umetumwa...habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi,
ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa majina imekuwa sbabu ya watu wengi kuachwa mara kwa mara na hata ndoa kuvunjika kila siku,ni hivi ikiwa umempata mchumba mpya hakikisha kwamba majina yenu yametofautiana kuanzia herufi nane na kuendelea
ngoja niwaeleweshe hope hamjaelewa
ni kwamba kuna alphabet A mpka Z
kila herufi ipe namba a ipe 1,b2,c3na kuendelea
sasa kama unampenzi angalia heruf yke ya kwanza na yko hakikisha zmetofautian kwa namba nane kam sivyo jua hamtadumu