Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Je kitendo cha Capello kumvua mtu madaraka sisi Watanzania tunakiweza? Si kwa suala la Ufuska pekee, bali hata mambo menngine ambayo msingi mkuu ni Uongozi Bora, Maadili na Uaminifu?
Je Rais anaposikia habari kuwa Waziri kaingilia ndoa ya mtu au katumia madaraka vibaya kama Ngeleja na yule Mgambo, atachukua hatua gani?
Au kwetu Watanzania tushafanya vitendo vya kuvunja uaminifu kuwa ni jambo la kawaida na si la msingi sana kutoleana jasho au kufukuzana kazi kama si kuvua mtu madaraka?
Mwanakijiji,
Unajua Tanzania tushageuka kuwa Taifa ambalo kila kitu ambacho si sahihi kikianza, tunakipuuzia na kukiona kuwa si tatizo sana.
La John Terry ni maadili, pure and simple.
Sisi maadili hatupendi, leo Mwasherati na Mzinzi anasifiwa na kutukuzwa, lakini tamaa yake itakapozidi Uzinzi au Uasherati na kuwa wizi au Uuaji je tutaendelea kuvumilia au hata Ushirikina?
Angalia jinsi watu walivyoanza taratibu kupenda Takrima, zikageuka kuwa 10% na sasa ni mikataba mikubwa na mipango imara ya kuhujumu.
Angalia tamaa za utajiri na uongozi zilivyofanya watu aanze kuamini maganda ya mayai, kutembea uchi =, mwishowe wakatoa kafara za familia zao na sasa wanachuna ngozi na kutafuta Albino!
Ni tabia hizi ndogo ndogo tunazozipuuzia za watu kuishi katika mfumo wa kimaadili ndizo tunapozifungia macho na mwishowe leo hii kama vile tunaria(sic) tumekubali Ufisadi, Rushwa na Uhujumu kuwa kitu cha kawaida na baya aidi ni kukubali kauli za udanganyifu na uongo uliokolea kutoka kwa Vongozi wa Taifa!
Let see, John Terry the Captain of England National Soccer team, who is a married man, decided to provide "comfort affection" to his friend and co players' baby mama ! The issue is now public and going to JoeBurg for World Cup, it is had for bridge and rest of the England players to be under leadership of a captain Mliwazaji Terry who crossed the line.
Capello, the coach kaamua Jeshi haliwezi kwenda vitani huku aliyekuwa mkuu wa kikosi anachomekea wake na ndogondogo za wenzake, kamvua Terry unahodha. A right and perfect move na kamangewezekana zaka ni kumuondoa Terry kwenye timu kabisa maana haaminiki na si muaminifu au mwenye kuheshimu wenziwe!
Je kitendo cha Capello kumvua mtu madaraka sisi Watanzania tunakiweza? Si kwa suala la Ufuska pekee, bali hata mambo menngine ambayo msingi mkuu ni Uongozi Bora, Maadili na Uaminifu?
Je Rais anaposikia habari kuwa Waziri kaingilia ndoa ya mtu au katumia madaraka vibaya kama Ngeleja na yule Mgambo, atachukua hatua gani?
Au kwetu Watanzania tushafanya vitendo vya kuvunja uaminifu kuwa ni jambo la kawaida na si la msingi sana kutoleana jasho au kufukuzana kazi kama si kuvua mtu madaraka?
Wow GT,
Yaani JF sucks mbona umerudi na kuongezea mbolea kwenye hili jambo?
You spoke about Terry's intentions to conceal his acts, same thing with our corrupt politicians and leaders who after breaking a law or a principle, they will use whatever means to cover up their mess at the expense of Wananchi!
So in addition to Promiscuity which is breach of trust, there is an attempt to cover up the mess, conceal, hide, bury it!
Ohh, by the way Hasanali Brothers are going to be toasted again by th bridge, a storm after the Manu destruction!
Ohh Wenger must also go!