JT, Capello and the Three Lions tale of Promiscuity

Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
393
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 393 180
Let see, John Terry the Captain of England National Soccer team, who is a married man, decided to provide "comfort affection" to his friend and co players' baby mama ! The issue is now public and going to JoeBurg for World Cup, it is had for bridge and rest of the England players to be under leadership of a captain Mliwazaji Terry who crossed the line.

Capello, the coach kaamua Jeshi haliwezi kwenda vitani huku aliyekuwa mkuu wa kikosi anachomekea wake na ndogondogo za wenzake, kamvua Terry unahodha. A right and perfect move na kamangewezekana zaka ni kumuondoa Terry kwenye timu kabisa maana haaminiki na si muaminifu au mwenye kuheshimu wenziwe!

Je kitendo cha Capello kumvua mtu madaraka sisi Watanzania tunakiweza? Si kwa suala la Ufuska pekee, bali hata mambo menngine ambayo msingi mkuu ni Uongozi Bora, Maadili na Uaminifu?

Je Rais anaposikia habari kuwa Waziri kaingilia ndoa ya mtu au katumia madaraka vibaya kama Ngeleja na yule Mgambo, atachukua hatua gani?

Au kwetu Watanzania tushafanya vitendo vya kuvunja uaminifu kuwa ni jambo la kawaida na si la msingi sana kutoleana jasho au kufukuzana kazi kama si kuvua mtu madaraka?
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,873
Likes
8,029
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,873 8,029 280
It has happened before; wanajuana sana. Na wanajua jinsi ya kutulizana...
 
H

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Messages
3,584
Likes
41
Points
0
H

Hofstede

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2007
3,584 41 0
Tungekuwa na vetting system nzuri ya kuwapata viongozi kwa kuwachambua kinaga ubaga wale wote wanaoomba uongozi wa nchi basi tungekuwa na watu safi wasio na mawaa katika uongozi. Watu hawa wesingeweza vumilia kuona mmoja miongoni mwao anawaharibia jina.

Ila kwa kuwa tunachofanya ni kufichiana siri ili mtu asionekane na uchafu japo anao, akiishafika madarakani hawezi kumchukulia hatua mtu ambaye anajua fika kuwa kitendo alichokifanya leo, yeye aliisha vifanya vingi sana na anaendelea kufanya na surbodinate wake anajua kuwa bosi anafanya. Hapo tusitarajie mtu kuchukuliwa hatua kwani impact yake inaweza kumrudia muwajibishaji.

Hebu fikiria leo hii kama John Edwards angekuwa amechaguliwa kuwa rais wa marekani, nini kingefuata?. Proper vetting is key to quality leaders. Umefikia wakati sasa, mambo yote wanayofanya watawala wetu gizani tuyaweke hadharani. Kama wanataka privacy wasigombee utawala.
 
Che Guevara

Che Guevara

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Messages
1,180
Likes
30
Points
145
Che Guevara

Che Guevara

JF-Expert Member
Joined May 22, 2009
1,180 30 145
Je kitendo cha Capello kumvua mtu madaraka sisi Watanzania tunakiweza? Si kwa suala la Ufuska pekee, bali hata mambo menngine ambayo msingi mkuu ni Uongozi Bora, Maadili na Uaminifu?

Je Rais anaposikia habari kuwa Waziri kaingilia ndoa ya mtu au katumia madaraka vibaya kama Ngeleja na yule Mgambo, atachukua hatua gani?

Au kwetu Watanzania tushafanya vitendo vya kuvunja uaminifu kuwa ni jambo la kawaida na si la msingi sana kutoleana jasho au kufukuzana kazi kama si kuvua mtu madaraka?
Nina swali: Hivi moja ya sifa za Mkulu haikuwa kwamba ni 'shapu' sana kwa mademu? Kwetu ati hiyo ilikuwa ni sifa chanya...

Yaelekea measures to be taken (or not to be taken) zinategemea kama mhusika ni mwanamtandao au hapana, ndio maana Mramba na Yona (Alex Stewart & Kiwira) wapo kwenye msukosuko ila Lowassa na Rostam (Richmond/Dowans, EPA & Kagoda) hawawezi kuguswa.

Issue ya Ngeleja na Mlinzi ndiyo usiseme. Nina hasira...
 
Kinyambiss

Kinyambiss

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2007
Messages
1,372
Likes
6
Points
135
Kinyambiss

Kinyambiss

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2007
1,372 6 135
Ndoa aihusuiani na siasa...lol.. not in TZ anyway. We have worse things to worry about. Na hizi habari za chelsea hazina uhusiano na siasa... sio stori humu.
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
393
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 393 180
Kinyambiss,

Ama kila kitu kwako lazima kiwe specific or direct la sivyo ni non applicable.

Suala si ndoa, suala si Chelsea, suala ni uongozi, dhamana na uaminifu!

Hivi leo ukiambiwa Meneja wako anakutongozea mkeo je unaweza kuwa na ufanisi wowote?

Au ile kesi ya Karamagi(Waziri) kutembea na mke wa kiongozi mwenzake Mkuu wa wilaya, je mahusiano ya kikazi yanakwendaje?

Je leo tufumbie macho kwa kuwa fulani kampanda mke wa fulani na kusema kuvunjwa kwa uaminifu na maadili katika ndoa ni sawa? Siku akiwaingizeni mkenge na mradi wa Makontena, Rada, Buzwagi, IPTL, Richmond na ATCLkama si nyumba za BOT ndipo mtaamka na kubaini kuwa mtu huyu si muadilifu na hafai kuwa kiongozi kama lile la Mkapa kununua Kiwira (Conflict of Interest)?
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
393
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 393 180
Mwanakijiji,

Unajua Tanzania tushageuka kuwa Taifa ambalo kila kitu ambacho si sahihi kikianza, tunakipuuzia na kukiona kuwa si tatizo sana.

La John Terry ni maadili, pure and simple.

Sisi maadili hatupendi, leo Mwasherati na Mzinzi anasifiwa na kutukuzwa, lakini tamaa yake itakapozidi Uzinzi au Uasherati na kuwa wizi au Uuaji je tutaendelea kuvumilia au hata Ushirikina?

Angalia jinsi watu walivyoanza taratibu kupenda Takrima, zikageuka kuwa 10% na sasa ni mikataba mikubwa na mipango imara ya kuhujumu.

Angalia tamaa za utajiri na uongozi zilivyofanya watu aanze kuamini maganda ya mayai, kutembea uchi =, mwishowe wakatoa kafara za familia zao na sasa wanachuna ngozi na kutafuta Albino!

Ni tabia hizi ndogo ndogo tunazozipuuzia za watu kuishi katika mfumo wa kimaadili ndizo tunapozifungia macho na mwishowe leo hii kama vile tunaria(sic) tumekubali Ufisadi, Rushwa na Uhujumu kuwa kitu cha kawaida na baya aidi ni kukubali kauli za udanganyifu na uongo uliokolea kutoka kwa Vongozi wa Taifa!
 
Tumain

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Messages
3,158
Likes
11
Points
0
Tumain

Tumain

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2009
3,158 11 0

Nafikiri tunatakiwa kuangalia tabia za viongozi wetu kwa vitu tunavyofikiri ni vidogo na vitu tunavyofikiri ni vikubwa? madogo ndio huzaa makubwa mfano, mwanafunzi wa form two akianza kucheza na wanaume anaweza kufikiri ni jambo dogo tu lakini akipata mimba inakuwa jambo kubwa lenye mwisho mbaya kwake na hata kwa anayezaliwa???

Kiongozi/tajiri/employer anayetamani mke wa mfanyakazi/mwajiriwa wake anaweza kuleta matatizo makubwa kwa familia husika na hata kwa biashara zake na nafasi yake na matumizi mabaya ya fedha za wananchi

Tabia mbaya haina udogo..ifike mahali adhabu zitolewe na tuwachunguze wanaotaka uongozi..period!
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
Let see, John Terry the Captain of England National Soccer team, who is a married man, decided to provide "comfort affection" to his friend and co players' baby mama ! The issue is now public and going to JoeBurg for World Cup, it is had for bridge and rest of the England players to be under leadership of a captain Mliwazaji Terry who crossed the line.

Capello, the coach kaamua Jeshi haliwezi kwenda vitani huku aliyekuwa mkuu wa kikosi anachomekea wake na ndogondogo za wenzake, kamvua Terry unahodha. A right and perfect move na kamangewezekana zaka ni kumuondoa Terry kwenye timu kabisa maana haaminiki na si muaminifu au mwenye kuheshimu wenziwe!

Je kitendo cha Capello kumvua mtu madaraka sisi Watanzania tunakiweza? Si kwa suala la Ufuska pekee, bali hata mambo menngine ambayo msingi mkuu ni Uongozi Bora, Maadili na Uaminifu?

Je Rais anaposikia habari kuwa Waziri kaingilia ndoa ya mtu au katumia madaraka vibaya kama Ngeleja na yule Mgambo, atachukua hatua gani?

Au kwetu Watanzania tushafanya vitendo vya kuvunja uaminifu kuwa ni jambo la kawaida na si la msingi sana kutoleana jasho au kufukuzana kazi kama si kuvua mtu madaraka?

I think that Terrys main problem was that he tried to gag the press and failed. They're the ones driving this storm of shit he's now at the centre of. I'm not saying he hasn't behaved like a cunt, I think he has over a good few years, but none of this would be being discussed if he hadn't tried to shut the press up and he tried to shut them up over Bridges ex.

All this stuff about team morale doesn't add up, no person has any right to get annoyed over someone poling their ex however unpalatable it may seem, we're all adults and that. Footballer fucksss bird isn't normally a big story either. It seems to me that in the eyes of journalists his main crime was attempting to restrict their ability to write what they like.

I think we just have to accept an extremely large amount of young men, however they achieve their fame and money, are going to start acting like arssseholes, if we start applying a too harsh a moral code or examining footballers lives minutely then there'll only be a couple of players left to be Cap'n, Ingraaand if anyone is really that bothered about the position anyway.

Ohhh JF and Chelsea sucks anyway..nakesho tunawafunga
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
393
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 393 180
Wow GT,

Yaani JF sucks mbona umerudi na kuongezea mbolea kwenye hili jambo?

You spoke about Terry's intentions to conceal his acts, same thing with our corrupt politicians and leaders who after breaking a law or a principle, they will use whatever means to cover up their mess at the expense of Wananchi!

So in addition to Promiscuity which is breach of trust, there is an attempt to cover up the mess, conceal, hide, bury it!

Ohh, by the way Hasanali Brothers are going to be toasted again by th bridge, a storm after the Manu destruction!
 
Public figures have been counting on this type of attitude for years, to allow their public and private images to coexist. This basically means that they can conduct their private lives by doing what they want, when they want, taking no responsibility for their actions, while their careers continue unscathed, reaping the financial benefits of "clean and wholesome" public images that do not reflect the true nature of their persona. This disingenuous manner of benefiting from a perceived image that is rather far removed from the truth is definitely in the public interest.

Were personal gain not included in the equation, perhaps the story would be different. As it stands, they do not deserve legal protection that enables them to carry on regardless. After all, we non public figures are not afforded such a luxury.

FM Membe should stay tuned ...
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
What is this thread doing here?
 
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,494
Likes
393
Points
180
Rev. Kishoka

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,494 393 180
Wacha,

I know your hurting with 2 goals behind Almunia's back but the Terry and Capello story is just an example of measuring leadership when maadili falls apart.

Have you forgoten about case studies? we can exmine a political and leadership situation using even footbal leadership as case study!
 
Mlalahoi

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Messages
2,124
Likes
484
Points
180
Mlalahoi

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2006
2,124 484 180
Wakati mwingine nahisi kuna wenzetu wanapanda sana KUJILAUMU.Kukosa uadilifu katika ndoa si tatizo kwa Tanzania pekee.Ni silika ya "vitombi" (excuse my language),watu wasioridhika na kile walichonacho.Kwenye dini tunaamini tamaa ni mzizi wa dhambi,na kama tujuavyo,ni vigumu kuchora mstari kwenye swali: tunatenda dhambi kwa vishawishi vya shetani au tamaa za kibinadamu?All in all,tamaa au vishawishi,kuzini bado ni dhambi.

Nasema si Tanzania pekee kwa vile Bill Clinton alimpomsaliti Hillary kwa Monika Lewisnky HAKUWA MNDENGEREKO.That said,simaanishi two wrongs make a right,bali najaribu kuonyesha kuwa hata "RAIS WA DUNIA" (yeah,US President ni kama rais wa dunia) aliwahi kusaliti ndoa yake na akabaki madarakani.

Sio tatizo la Watanzania pekee bali la wanaume wakware popote walipo duniani.Guts za kuwaacha au kuwaondoa linabaki mikononi mwa waliowaweka madarakani.

Let he who is without sin cast the first stone.
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
Footballers are brain dead cunts and overpaid thugs who would probably be in prison if they didn't have a talent for kicking balls around.

Ohh Wenger must also go!
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
380
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 380 180
Ohh Wenger must also go!
sawia kabisa na hapa namnukuu na utetezi wake

"I believe more than footballers, human beings cross the line, and many of us do," he said.
"Who has not done that in life? We have all made mistakes."Inatia kinyaa!
 
Forum statistics

Threads 1,237,166
Members 475,465
Posts 29,280,041