An idle mind is the workshop of the devil. Watu wanaoshinda kwenye mitandao ni wavivu,hawataki kufanya kazi. Hivyo wamegeuka majiko ya kupika uwongo na majungu dhidi ya serikali. Na wengine wana sura ya kukodiwa kwa kazi hiyo isiyo ya kizalendo. JPM piga kazi. Wananchi tunakuunga mkono kwa 100%. Wewe ni raisi, ibara ya 33 ya katiba ya jamuhuri yetu imekupa mdaraka ya kutosha. Usihangaike na kelele za milango na wavivu wa kufanya kazi. Continue rolling the ball of development. Wanaopiga kelele walizoea kuishi kwa "madili"(wengine wanashindwa hata kumalizia ujenzi wa nyumba zao)bila kufanya kazi wala kuumiza vichwa. Sasa wanaisoma namba. Matawi ya miti yanavunjika. "Life is suffering". JPM usilegeze policy na falsafa yako hata kwa herufi moja. Kazi kamba. Watakuelewa baadaye. Pengine computer zao zinafunguka polepole mno.