tumsubiri hadi lini wakati sekoture hospital hamna majiBro acha tuumpe muda kwanza atafute wafanyakazi hewa, kabla ya mwezi5 atoe mikakati yake
huyu wenje hapa effect hatoki kaskazini,wasiwasi wetu alikuwa kiwia tumeshamalizana nae,Mnaogoa wenje atarudi,uvccm bwana
mpen muda kidg mkuu ndo kwanza amefikaHili lilikuwa jembe sana, yaani kila asubuhi tulikuwa tunasikia kelele za kutumbuliwa majipu, watu walikuwa wameshika adabu sawasawa, sasa huyu uliyetuletea anashinda ofisini, Jamani turudishieni hili Jembe letu linatufaa sana. Huduma zilikuwa zinaenda mbiombio.