Mshabiki wa Putin hupendi one man show![emoji1787]Uimara wa kiongozi hauwezi pimwa kwa kuuliza maswali na kujibu papo hapo kwenye ziara bali kuweka mifumo imara itakayo tatua changamoto za wananchi kuliko kuwa na mfumo wa "one man show"
Rais aliyekuwa hajui kazi yake"JPM"aliongea nawananchi papo kwa papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM alitatua kero husika zilizokuwa zikiwakabili wananchi na kwa wakati husika
Pale tu taarifa hizo zilimpomfikia rasmi.
SSH yeye anawazuia,huku akiamuru wapambe wake kuwasikiliza.
Wakati wao ndio watuhumiwa wenyewe.
SSH anaogopa nini?
JPM alihangaikia na kuwawezesha wajasiriamali nchini
SSH anahangaikia riziki na fursa zaidi kwa walamba Asali zaidi.
JPM alihimiza kuhusu kujitegemea kama taifa,badala ya kulala tukitegemea na kuwaza mfuko wa Wahisani na Wafadhili.
SSH yeye anatembea kwa kasi Duniani,akijitahidi kuomba mikopo kadri awezavyo.Na yule anayemkosoa anaishia kuondolewa uheshimiwa na kuwa Muishiwa.
JPM hakupenda kusemewa,bali alipenda kujisemea yeye binafsi mbele ya wananchi.
SSH anatuma wasemaji waongo kama Mwigulu,Makamba,Nape na wengineo wengi waliomzunguka.
Na
Wanachokisema wao sio kile wananchi wanachotaka kukisikia,au walichokitarajia kukisikia toka kwa Serikali yao.
JPM alipinga wanyonge kuonewa na kupunjwa haki zao.
SSH yeye anawakamua wananchi kwa kosdi na Tozo lukuki.
JPM alikagua miradi yote mikubwa kimkakati,huku akitaka maelezo ya kina pale ilipoonekana kusuasua.
SSH yeye ameikabidhi miradi kwa michwa,huku yeye akizunguka kila uchao,matokeo yake ndio haya tumeongia gizani nchi nzima.
Matokeo yake ni bei za bidhaa kupaa bila udhibiti kutoka mamlaka husika.
Matokeo yake hadi Bundle za mitandao zinapanda kila uchao,utadhani nazo zinaagizwa Ukraine.
#Mtanikumbuka.
Alamsikhi.
Mkuu Yoda huu uzi unahusu ulinganifu wa utawala wa JPM na SSH Sasa habari za Putin zimeandikwa wapi katika huu Uzi?Mshabiki wa Putin hupendi one man show![emoji1787]
Tunza maneno na chuki yako kwa Magufuli.Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Tunza maneno na chuki yako kwa Magufuli.
Muda Si Mrefu huenda ukayatumia,ila kwa namna inhine tofauti.
Chuki mliyonayo kwa Magufuli mi personal interested zaidi.
Kila alieguswa na panga lake,sidhani kama atakuja humu kusema zaidi ya haya unayolala nayo na kuamka nayo.
Yaliyotokea kipindi cha Magufuli sio mapya Duniani.
Sababu yapo na yanaendelea kutendeka.kuanzia Marekani mpaka huko Urusi.
Kuanzia Uingereza mpaka Mexico.
Kuyatumia kama hoja au sera,hakuongezi idadi ya kura bali kujenga kundi lingine dhidi ya wenye muelekeo huu dhaifu wa kivivu.
Udikteta huduma bora, Demokrasia huduma mbovu, tumechagua Kama walibya walivyoamua!!Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Udikteta huduma bora, Demokrasia huduma mbovu, tumechagua Kama walibya walivyoamua!!
Chadomoo hoyeeeeeeeeeAkitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Naona bado hujanisoma,unajibu tu just from no where!!Nchi zenye demokrasia, nyingi ndio zenye huduma Bora. Na mifano ya dhahiri ipo. Labda kama hujui unaongea nini.
Cheti fake wewe,hata mawazo yako yanaendelea kuwa fake!Joni hakuwa na hoja ,wenye hoja walipoongea aliwapiga risasi,akafungia Bunge ili atazame yeye na mkewe tena Saa tano usiku ,akafungia magazeti kifupi ni kwamba maccm hayapendi hoja zaidi ya udikteta yakisaidiwa na mburura polisi,JWTZ nk